-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa mnasaba wa kukumbuka kusainiwa mkataba wa kuaibisha wa 1919
Aug 09, 2020 07:35Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kupitia intaneti katika mitandao ya kijamii kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kutiwa saini mkataba wa kuaibisha wa mwaka 1919 na kueleza kuwa: madola ya kikoloni na kibeberu yanajaribi kuibua hisia ya udhalili katika nchi ambazo madola hayo yanataka kutanua udhibiti wao.
-
Kiongozi Muadhamu: Madola ya kikoloni yanayafanya mataifa yajihisi duni ili yaweze kuyadhibiti
Aug 09, 2020 03:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Madola ya kikoloni na ya kibeberu yanatumia kila njia kuyafanya yajihisi duni mataifa yanayotaka kuyahodhi na kuyatawala.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai ya Marekani katika kudondosha bomu la atomiki Hiroshima
Aug 09, 2020 02:44Mwezi Agosti mwaka 1945 Marekani ilishambulia mji wa Hiroshima kwa bomu la nyuklia na kuua watu zaidi ya laki moja; hii ndio hulka ya kibeberu ya jeshi la Marekani, kutokuwa na dini, kutomwamini Mwenyezi Mungu na utovu wa maadili wa Marekani.
-
Iran yapiga hatua kubwa katika kutengeneza vifaa na dawa za kukabiliana na corona
Aug 08, 2020 09:06Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Maendelo ya Teknolojia ya Masuala ya Afya ya Wizara ya Afya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imepiga hatua kubwa na kwenda bega kwa bega na nchi zilizoendelea duniani kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na mkampuni ya sayansi ya kutengeneza zana na kuzalisha vifaa vya kuzuia, kubaini na kutibu virusi vya corona.
-
Spika wa Bunge la Iran awatumia salamu za kheri na baraka shakhsia wa kidini na kisiasa katika ulimwengu wa Kishia
Aug 08, 2020 03:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za kheri, baraka na fanaka shakhsia wa kidini na kisiasa katika ulimwengu wa Kishia kwa mnasaba wa kuadhimisha sikukuu ya Idul-Ghadir inayoadhimishwa leo kote ulimwenguni.
-
Donald Trump: Nikishinda urais katika duru ya pili, nitafikia makubaliano na Iran kwa haraka sana
Aug 08, 2020 03:44Rais Donald Trump wa Marekani amedai kuwa, endapo ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais Novemba mwaka huu, atahakikisha anafikia haraka makubaliano na Iran.
-
Kufeli siasa za Marekani mkabala na Iran; kuendelea kugonga mwamba ndoto za Trump
Aug 08, 2020 03:15Hakuna siku inayopita bila viongozi wa Marekani kutoa misimamo mikali dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, suala ambalo mara nyingi hudhihirisha mgongano wa misimamo yao na kupelekea baadhi ya vyombo vya nchi hiyo ya Magharibi kukiri kuwa hiyo ni ishara ya kushindwa siasa za Washington mkabala na Iran.
-
Mousavi: kubadilishwa "Brian Hook" hakutaleta mabadiliko katika siasa za Marekani
Aug 07, 2020 23:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kubadilishwa Briah Hook aliyekuwa mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran hakutabadilisha chochote siasa za nchi hiyo.
-
Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 08:19Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikitumia wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, iliiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa.
-
Shamkhani: Marekani imeshindwa katika sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 06:28Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria kujiuzulu mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kusema: "Stratijia ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuangusha mfumo wa Kiislamu sasa imebadilika na kuwa stratijia ya kuizuia Iran itajirike."