-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Shambulizi la atomiki dhidi ya Hiroshima ni kielelezo cha ubeberu wa Marekani
Aug 07, 2020 03:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa mauaji ya watu laki moja katika shambulizi la bomu la nyuklia la Marekani huko Hiroshima ni kielelezo cha tabia na hulka ya kibeberu ya jeshi la nchi hiyo na utovu wa maadili na dini wa Marekani.
-
Zarif: Silaha za Atomiki za Marekani na Israel ni tishio kwa eneo
Aug 06, 2020 21:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa kauli kwa mnasaba wa siku ambayo Marekani ilidondosha mabomu ya atomiki huko Hiroshima Japan wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kusema jinamizi la silaha za atomiki linapaswa kufika ukingoni.
-
Majeshi ya Iran yako tayari kujenga hospitali mbili za muda Lebanon
Aug 06, 2020 21:54Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, majeshi ya Iran yako tayari kujenga hospitali mbili za muda kwa ajili ya watu wa Lebanon iwapo serikali ya nchi hiyo itatoa ombi.
-
Rais Rouhani: Taifa la Lebanon litavuka salama kipindi hiki kigumu kwa subira na uvumilivu
Aug 06, 2020 06:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa serikali na taifa la Iran litaendelea kuwa pamoja na watu wa Lebanon kama ilivyokuwa siku zote na kuongeza kuwa, taifa kubwa la Lebanon litavuka salama machungu ya mlipuko wa bandari ya Beirut kwa subira na uvumilivu.
-
Meja Jenerali Salami: Taifa la Iran halitaacha kulisaidia taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa
Aug 06, 2020 05:37Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitaliacha mkono taifa la Lebanon katika hali ngumu ya hivi sasa.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia tukio chungu la mlipuko wa Beirut Lebanon
Aug 06, 2020 00:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia tukio la mlipuko katika bandari ya Beirut nchini Lebanon na kutangaza kuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo katika kipindi hiki kigumu.
-
Rais Rouhani: Iran inaongoza kwa demokrasia kieneo
Aug 05, 2020 06:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uchaguzi huru wa rais, bunge na asasi zingine za utawala katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaofanyika moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja na kusema: "Iran inaongoza kwa demokrasia katika eneo."
-
Salami: Tutaendeleza njia ya Shahidi Soleimani hadi Quds ikombolewe na maadui wa Uislamu waangamizwe
Aug 04, 2020 22:06Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuhusu kulipizwa kisasi damu ya Shahiri Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuongeza kuwa: "Njia ya Shahidi Soleimani itaendelea hadi mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) utakapokombolewa na maaadui wote wa Uislamu wasambaratishwe na waondolewe katika nchi za Waislamu."
-
Siku ya Haki za Binadamu za Kiislamu yaadhimishwa Tehran
Aug 04, 2020 22:05Siku ya Haki za Binadamu za Kiislamu imeadhimishwa Jumanne mjini Tehran kwa kuwaleta pamoja wanaharakati za haki za binadamu.
-
Rouhani: Kupotoshwa mafanikio; mhimili mkuu wa vita vya kisaikolojia vya maadui dhidi ya Iran
Aug 04, 2020 06:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kudhihirisha kutowajibika serikali na kupotosha uwezo na mafanikio makubwa ya nchi ni mhimili mkuu wa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na maadui dhidi ya taifa la Iran.