-
Mfumo wa ubeberu wa Marekani; mfumo unaochukiwa zaidi duniani
Aug 04, 2020 03:03Mfumo wa ubeberu wa Marekani ndio mfumo unaochukiwa zaidi duniani kwa sababu, kutokana na kiwango cha juu zaidi cha chuki ulizoeneza ndani ya nyoyo za watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni.
-
Raisi: Marekani na nchi za Ulaya ni wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu
Aug 03, 2020 21:02Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa Marekani na nchi za Ulaya ndio wakiukaji wakubwa zaidi wa haki za binadamu, na kwamba utawala unaochukiwa zaidi na mataifa mengi duniani ni ule wa kibeberu wa Marekani.
-
Sisitizo la Iran na Russia la kuimarisha uhusiano wao kufikia kiwango cha uhusiano wa kistratijia
Aug 03, 2020 04:02Leonid Slutsky, Mkuu wa Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Bunge la Russia, Duma, ambaye amefanya safari rasmi ya kikazi mjini Tehran amekutana na kufanya mazungumzo na Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu masuala ya pande mbili.
-
Sisitizo la Zarif kuhusu kusainiwa upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu wa Iran na Russia
Aug 02, 2020 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesistiiza kuhusu umuhimu wa kutiwa saini upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu baina ya Iran na Russia katika uga wa uhusiano wa kistratijia.
-
Rais Rouhani: Iran imefanikiwa kuzima njama za maadui wake
Aug 02, 2020 06:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha fursa na changamoto za kiuchumi zinazoikabili nchi hiyi na kusema kuwa: Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Iran imepata mafanikio makubwa katika kuzima na kufubaza njama za maadui.
-
Utawala wa Marekani unapaswa kutoa majibu ya uungaji mkono wake kwa makundi ya kigaidi
Aug 02, 2020 06:09Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran ilitangaza Jumamosi ya jana tarehe Mosi Agosti kwamba, Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar ambaye alikuwa akiongoza kutoka Marekani operesheni za utumiaji silaha na za uharibifu dhidi ya Iran ametiwa mbaroni na vikosi vya usalama vya taifa hili katika operesheni tata na makini.
-
Waziri wa Usalama wa Iran: Marekani na utawala wa Kizayuni zinawatumia magaidi kama wenzo
Aug 02, 2020 03:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kutiwa mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar na kueleza kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni zinawaunga mkono magaidi madhali wana manufaa nao.
-
Zarif: Magharibi inapaswa iache kuwapa hifadhi na kuwasaidia kifedha magaidi
Aug 01, 2020 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia ulazima wa nchi za Magharibi kuacha kuyahami na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi yanayopinga Mapinduzi na akasema: Kutokea kwenye maficho yao walikopewa hifadhi ndani ya Marekani na Ulaya, magaidi wanaandaa machafuko na mauaji ya raia wa Iran.
-
Iran yamtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani
Aug 01, 2020 09:17Vikosi vya Usalama vya Iran vimemtia mbaroni Jamshid Sharmahd, kiongozi wa kundi la kigaidi la Tondar lenye makao yake nchini Marekani.
-
Raisa Rouhani: Maagizo ya wizara ya afya kuhusu corona yaendelee kutekelezwa
Aug 01, 2020 06:38Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema maagizo ya wizara ya afya kuhusiana na kukabiliana na corona yataendelea kutekelezwa kikamilifu.