-
Mtazamo wa muda mrefu wa Iran na Iraq kwa ushirikiano wa pande mbili
Aug 01, 2020 05:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ya jana alifanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iraq, Barham Saleh na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa zaidi uhusiano na ushirikiano wa pande mbilii
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya taifa la Iran
Aug 01, 2020 02:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amevitaja vikwazo vya Marekani kuwa ni kitendo cha jinai dhidi ya taifa la Iran na ametoa wito wa kusimama kidete kukabiliana na adui huyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni uhalifu
Jul 31, 2020 11:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amelihutubia taifa kupitia televisheni kwa mnasaba wa Idul-Adh'ha na akasisitiza kwamba: Vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni uhalifu.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni jinai
Jul 31, 2020 03:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa vikwazo vya Marekani vinatekelezwa kidhahiri dhidi ya mfumo wa utawala wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini kwa hakika ni dhidi ya taifa la Iran na vinahesabiwa kuwa ni kitendo cha jinai.
-
Swala ya Idul Adh'ha yafanyika katika maeneo mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya
Jul 31, 2020 03:46Swala ya Idul Adh'ha imefanyika leo asubuhi katika miji mbalimbali ya Iran ya Kiislamu kwa kufuata protokali za afya.
-
Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikuu ya Idul Adh'ha
Jul 30, 2020 22:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wasisitiza udharura wa kupambana na dhulma na mabeberu duniani
Jul 30, 2020 21:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe kwa mnasaba wa siku hizi za ibada ya Hija akiashiria anga inayotawala sasa nchini Marekani na harakati ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo na kusisitiza kuwa: Msimamo wetu madhubuti ni kuwaunga mkono wananchi wa Marekani na kulaani mienendo ya kikatili ya serikali ya kibaguzi ya nchi hiyo.
-
Rouhani: Iran itaendelea kustawi pamoja na kuwepo vizingiti vya maadui
Jul 30, 2020 06:23Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa la Iran litaendelea kustawi pamoja na kuwepo zivingiti ambavyo vinawekwa na maadui.
-
Zaidi ya wagonjwa 259,000 wa Covid-19 nchini Iran wamepata afueni
Jul 29, 2020 10:31Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, wagonjwa wengine wapya wapatao elfu mbili wa maradhi ya Covid-19 wamegunduliwa nchini, huku idadi ya waliopata afueni ya ugonjwa huo ikipindukia 259,000.
-
Kiongozi Mkuu: Tunalaani mwenendo wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa Marekani na tunaunga mkono harakati ya wananchi
Jul 29, 2020 10:20Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Katika matukio ya sasa ya Marekani na harakati ya kupinga ubaguzi wa rangi iliyopo, msimamo wetu thabiti ni wa kuwaunga mkono wananchi na kulaani mwenendo wa kikatili wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa nchi hiyo."