-
Hatua ya mwisho ya maneva kubwa ya 'Rasul A'dham (saw)'; dhihirisho la nguvu ya Iran katika kulinda usalama.
Jul 29, 2020 06:24Hatua ya mwisho ya maneva kubwa ya pamoja ya 'Rasul A'dham (saw) 14" alianza kutekelezwa siku ya Jumanne huku ikivishirikisha vikosi vya majini na anga za mbali vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah, katika mkoa wa Hormozgan, magharibi mwa Lango Bahari la Hormoz na Ghuba ya Uajemi na eneo kubwa la nchi kavu ndani ya nchi.
-
Rouhani: Adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa nje ya nchi
Jul 29, 2020 03:15Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa zake nje ya nchi.
-
Siku ya pili ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Mtume Mtukufu (SAW) ya IRGC nchini Iran
Jul 29, 2020 02:55Leo ni siku ya pili na ya mwisho ya mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yaliyopewa jina la Mtumu Mtukufu (SAW) 14. Mazoezi hayo ni ya pamoja ya vikosi vya majini na vya anga vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na yanafanyika katika eneo la Hormozgan, magharibi mwa Lango Bahari la Hormoz, Ghuba ya Uajemi na maeneo mengine ya nchi.
-
Meja Jenerali Salami: Ustawi wa uzalishaji silaha Iran unaendana na utambuzi wa nguvu na udhaifu wa adui
Jul 28, 2020 22:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Ustawi wa uzalishaji silaha na zana za kijeshi nchini Iran unaendana na vitisho na utambuzi halisi wa nguvu na udhaifu wa adui; na mazoezi ya kijeshi ya IRGC yanafanyika kwa lengo la kuhakikisha malengo ya taifa la Iran yanalindwa kwa nguvu na uwezo kamili.
-
Waliopona corona Iran ni zaidi ya laki mbili na elfu 57
Jul 28, 2020 06:59Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza kusajiliwa kesi mpya za maambukizi ya corona karibu elfu mbili na akasema watu zaidi ya 257,000 wamepona ugonjwa wa Covid-19 hapa nchini.
-
Kutosalimu amri jamii ya kimataifa mbele ya matakwa ya kibabe ya Marekani
Jul 28, 2020 03:22Jamii ya kimataifa haitasalimu amri mbele ya matakwa ya kibabe ya utawala wa Marekani na inachofuatilia Washington ni kitu ambacho hakina hakitakuwa na faida yoyote.
-
Rais Rouhani: Kuondolewa vikwazo haramu vya Marekai si sharti, ni uhakika
Jul 28, 2020 00:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea ugaidi wa kiuchumi na wa zana za tiba wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona na kusema kuwa, kuondolewa vikwazo haramu vya Marekani si sharti la mazungumzo na Iran bali ni uhakika na muktadha wa hali halisi ya mambo.
-
Sera imara za Iran; kuunga mkono amani na uthabiti wa Afghanistan
Jul 27, 2020 07:09Iran inaunga mkono amani na uthabiti wa Afghanistan.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu asisitiza udharura wa umoja baina ya Waislamu
Jul 27, 2020 06:31Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza udharura wa kuwepo umoja kati ya nchi na mataifa ya Waislamu kwa ajili ya kukabiliana na njama za maadui wa Umma.
-
Iran inapinga mashinikizo ya Marekani kwa Baraza la Usalama na nchi za eneo
Jul 27, 2020 03:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Tehran inapinga mashinikizo ya Marekani kwa wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na nchi za eneo.