-
SEPAH: Iwapo vita vipya vitazuka, tutatoa pigo zito zaidi kuliko la huko nyuma
Oct 01, 2025 03:01Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amezungumzia njama za maadui dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza kwa kusema: "Ni jambo lisilo na chembe ya shaka kwamba tutatoa pigo zito zaidi, tata na kali mno dhidi ya adui kuliko huko nyuma, iwapo kutaanzishwa vita vipya dhidi yetu."
-
Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Sep 30, 2025 23:18Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
-
Pezeshkian: Utaratibu wa Snapback ni jaribio la kuhalalisha hatua haramu za Magharibi
Sep 30, 2025 08:32Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja utaratibu wa Snapback kama jaribio la kuhalalisha vitendo haramu vya nchi za Magharibi.
-
Araqchi: Matakwa ya kupindukia mpaka ya Marekani yamezuia kutatuliwa kadhia ya nyuklia huko New York
Sep 30, 2025 08:32Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano kuhusu utaratibu kwa jina la "Snapback" hayakufikiwa mjini New York kutokana na matakwa ya kupindukia ya Marekani, ikiungwa mkono na nchi za Ulaya.
-
Iran yalaani urejeshaji vikwazo vya UN vilivyokwisha muda wake uliofanywa na Marekani na Ulaya
Sep 30, 2025 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameikosoa Marekani na mataifa matatu ya Ulaya kwa kujaribu kutumia utaratibu wa 'snapback' wa makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 ili kurejesha tena vikwazo vilivyokwisha muda wake vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian apuuzilia mbali vikwazo; asema ni ndoto kuwapigisha magoti Wairani
Sep 29, 2025 23:01Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanafanya kila wawezalo kuiwekea vikwazo Iran kwa sababu nchi hii iimekataa kuwapigia magoti na haitakubali kudhalilishwa.
-
Iran: Sekretarieti ya UN imevuka mpaka wa mamlaka yake kutangaza urejeshwaji wa vikwazo
Sep 29, 2025 08:34Iran imepinga vikali taarifa ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama kuhusu kutumika tena maazimio yaliyohitimisha muda wake yanayoilenga Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo.
-
Iran yatoa wito wa kutimuliwa Israel katika soka kutokana na mauaji yake ya kimbari Gaza
Sep 29, 2025 03:54Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa wito wa kutimuliwa Israel katika soka kutokana na mauaji yake ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkuu wa jeshi la Iran: Tunafuatilia nyendo za adui na tutatoa jibu kali kwa chokochoko yoyote
Sep 29, 2025 03:53Mkuu wa jeshi la Iran amesema kuwa, tunaendelea kumfuatilia adui na tutakabiliana vikali na makosa yoyote kutoka kwake na kuongeza: "Adui anapaswa kutambua kwamba taifa la Iran litakuwa mshindi kwa uwezo wake, nguvu zake na maadili yake ya hali ya juu."
-
Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu wapiga hatua nyingine nchini Iran
Sep 29, 2025 03:51Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu umepiga hatua nyingine nchini Iran kutoka katika bidhaa bunifu za afya hadi kuboresha usahihi wa vifaa vya uchunguzi.