-
Zarif asema uhusiano wa Iran na Uturuki katika nyuga tofauti ni wa karibu sana
Jun 15, 2020 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki zina uhusiano mzuri wa na karibu sana katika nyuga mbali mbali.
-
"Marekani inazitishia IAEA na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa"
Jun 14, 2020 22:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran vinapaswa kutamatishwa muda wake utakapofika kama sehemu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, licha ya vitisho vya Marekani kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki (IAEA) na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Umoja wa Ulaya: Viwanja vya ndege vya Iran ni salama mkabala wa corona
Jun 14, 2020 03:17Wakala wa Usalama wa Usafiri wa Anga wa Umoja wa Ulaya (EASA) umetangaza kuwa, viwanja vyote vya ndege vya Iran ni salama mkabala wa virusi vya corona.
-
Zarif: Madai kuwa mashambulio dhidi ya ARAMCO yalitumia silaha kutoka Iran hayana msingi
Jun 13, 2020 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madai kwamba makombora yaliyotumika kushambulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia ARAMCO yana asili ya Iran, hayana msingi wowote na kuongeza kuwa, inasikitisha kuona kwamba sekretarieti ya Umoja wa Mataifa imeonesha kivitendo kuwa inaathiriwa na vitisho vya Marekani.
-
Shamkhani: Kuvunjwa 'masanamu ya kibaguzi' kumewatia kiwewe Wazayuni
Jun 13, 2020 08:06Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kitendo cha kuvunjwa nembo na masanamu yanayoashiria ubaguzi wa rangi katika nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani kimeutia kiwewe na wahka mkubwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yapinga madai ya UN kuwa 'makombora yaliyotoka Iran' yalilenga Saudia
Jun 13, 2020 02:34Iran imepinga madai ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa kuwa makombora yaliyotumiwa kushambulia Saudia 'yalitoka Iran' na kusema umoja huo umetoa tamko hilo chini ya mashinikizo ya Marekani na utawala wa Saudia.
-
Mousavi: Hivi karibuni Marekani itapiga magoti mbele ya taifa la Iran
Jun 12, 2020 06:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu msimamo wa maafisa wa Marekani kuhusiana na matokeo ya vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Iran na kusema: Karibini hivi Marekani itapiga magoti mbele ya taifa la Iran.
-
Matokeo mabaya ya vitendo viovu vya Marekani dhidi ya Iran; kuendelea kuvunjwa sheria duniani
Jun 12, 2020 05:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani haina haki ya kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuiharibia jina Iran.
-
Zarif: Marekani mara hii inatumia mabavu dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Jun 12, 2020 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na kusema, hivi sasa ICC inahujumiwa na genge la wahalifu wambao wanajiarifisha kuwa ni wanadiplomasia."
-
Zarif: Marekani haina haki ya kuitumia vibaya UN kwa ajili ya kuchafua jina la Iran
Jun 11, 2020 08:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani haina haki yoyote ya kutumia vibaya Umoja wa Mataifa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa ajili ya kuchafua jina la Iran.