-
Raisi: Mahakama za kimataifa ziwafuatilie na kuwapandisha kizimbani viongozi watenda jinai wa Marekani
Jun 02, 2020 07:00Mkuu wa Chombo cha Mahakama nchini Iran amesema kuwa, viongozi wa Marekani ni watuhumiwa wa kuvunja haki za kimsingi kabisa za binadamu na inabidi wapandishwe kizimbani kwenye mahakama za kimataifa.
-
Iran: Viashiria vya kusambaratika Marekani vinazidi kudhihiri
Jun 02, 2020 03:46Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusiana na maandamano yanayoendelea nchini Marekani kufuatia kuuawa kinyama na polisi mzungu Mmarekani mwenye asili ya Afrika na pia kitendo cha Trump kujificha chini ya White House kwa kuogopa hasira ya waandamanaji.
-
Vitisho vya Marekani dhidi ya dunia kwa mtazamo wa Katibu Mkuu wa Idara ya Haki za Binaadamu ya vyombo vya Mahakama vya Iran
Jun 01, 2020 23:28Hivi sasa walimwengu wamebainikiwa kwamba vitisho vya Marekani havikomei tu kwa viongozi wa nchi hiyo, bali ni mfumo wa kifikra uliokita mizizi katika muundo wa uongozi wa nchi hiyo.
-
Raisi: Jinai ya polisi ya Marekani dhidi ya raia mweusi imefichua sura halisi ya Marekani
Jun 01, 2020 21:57Mkuu wa Idara ya Mahakama za Iran amezungumzia ukatili na unyama unaofanywa na polisi wa Marekani dhidi na raia weusi wa nchi hiyo na kusema kuwa, jinai za polisi wa Marekani na mauaji ya raia mweusi wa nchi hiyo vimevichua sura halisi ya nchi hiyo.
-
Iran: Kukandamizwa watu wasio wazungu huko Marekani ni jambo linalousikitisha ulimwengu mzima
Jun 01, 2020 05:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran inapinga uingiliaji wa aina yoyote wa mambo ya ndani ya Marekani lakini ukandamizaji wa kutisha wanaofanyiwa raia wa Marekani hususan wasio wazungu unayaumiza na kuyasikitisha mataifa yoite duniani.
-
Rouhani: Utendaji mzuri wa Iran katika kukabililiana na COVID-19 utabakia katika historia
May 31, 2020 23:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria takwimu za taathira ya corona katika uchumi wa baadhi ya nchi zilizostawi duniani na kusema: "Utendaji mzuri wa siku 100 wa wafanyakazi wa sekta ya tiba na taifa la Iran katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 utabakia katika historia."
-
Iran: Mashirika ya haki za binadamu duniani yasifumbie macho mauaji ya Mmarekani mweusi, George Floyd
May 31, 2020 07:26Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani yanapaswa kupaza sauti zao dhidi ya mauaji ya George Floyd Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mweupe mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota hivi karibuni.
-
Ghalibaf: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ndicho kigezo bora kabisa cha kukabiliana na mfumo wa kibepari duniani
May 31, 2020 03:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ndicho kigezo bora kabisa cha kukabiliana na mfumo wa kibepari duniani.
-
Zarif: Kukandamizwa waandamanaji na kukanusha kuchoshwa vibaya Wamarekani kunapaswa kulaaniwa
May 31, 2020 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, mbinu mbovu na za kila siku zinazotumiwa na serikali ya Marekani za ukandamizaji, kuwafunga wapinzani na kukana kuwa Wamarekani wamechoka, ni mambo ambayo yanapaswa kulaaniwa.
-
Mousavi: Vitendo vya Marekani dhidi ya Iran vinavunja waziwazi hati ya UN
May 30, 2020 08:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua mpya zilizochukuliwa na Marekani za kuuwekea vikwazo ushirikiano wa kimataifa wa nyuklia baina ya Iran na pande nyingine na kusema kuwa kitendo hicho kinavunja waziwazi azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.