-
Usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa mtazamo wa Iran
May 30, 2020 06:58Iwapo eneo la Ghuba ya Uajemi litakuwa salama, nchi zote za eneo hilo zitafaidika na usalama huo, kinyume chake, nchi zote za eneo hilo zitakumbwa na ukosefu wa usalama iwapo Ghuba ya Uajemi haitakuwa salama.
-
Iran: Sauti ya waandamanaji nchini Marekani lazima isikilizwe
May 30, 2020 03:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kulaani mauaji ya raia wa Marekani wenye asili ya Afrika, imesisitiza kuwa sauti za watu wanaoandamana kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya watu weusi lazima isikilizwe.
-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 29, 2020 23:48Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mousavi: Marekani ima uliheshimu taifa la Iran au ukubali kuendelea kudhalilika
May 28, 2020 22:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo Ijumaa amejibu matamshi ya kuchekesha ya Brian Hook, mwakilishi maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran na kuandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba, taifa kubwa la Iran limesambaratisha mashinikizo ya kiwango cha juu ya Washington kwa muqawama wa kiwango cha juu, imani isiyotetereka na kwa kutegemea uwezo wake wa ndani.
-
Iran: Serikali ya Marekani inaunga mkono ubaguzi wa rangi
May 28, 2020 21:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mauaji dhidi ya Wamarekani weusi yanayofanywa na polisi ya nchi hiyo na kusisitiza kwamba, serikali ya Marekani inaunga mkono ubaguzi wa rangi.
-
Waliopona COVID-19 nchini Iran wapindukia 112,000
May 28, 2020 07:17Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika 112,998 wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Iran yapeleka Denmark mashine za kuzalisha barakoa
May 28, 2020 03:27Makamu wa Rais wa Iran wa Masuala ya Sayansi na Teknolojia amesema Jamhuri ya Kiislamu imepeleka nchini Denmark mashine za kuzalisha barakoa za kujikinga virusi vya corona.
-
Meja Jenerali Salami: Mfumo wa ulinzi wa Iran ni wa kiistratijia na mbinu yake ni ya kushambulia
May 28, 2020 02:58Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa, Iran haiogopeshwi na adui yoyote yule na kwamba mfumo wa ulinzi wa Iran ni wa kiistratijia na mbinu yake ni ya kushambulia.
-
Mohammad Bagher Ghalibaf achaguliwa kuwa Spika mpya Bunge la Iran
May 28, 2020 02:52Mohammad Bagher Ghalibaf ndiye spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Zoezi la kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu limefanyika leo asubuhi.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu
May 27, 2020 21:53Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.