-
Rais Rouhani: Bunge la Iran ni nembo ya demokrasia ya kidini
May 27, 2020 12:33Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema bunge ni nembo ya demokrasia kote duniani, lakini ni nembo ya demokrasia ya kidini katika Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Bunge la Awamu ya 11; sisitizo kuhusu matarajio na stratijia muhimu
May 27, 2020 05:53Awamu ya 11 ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imeanza leo Jumatano kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu
May 27, 2020 03:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaka Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililoanza shughuli zake leo Jumatano kuelekeza darubini na kujikita zaidi katika masuala ya uchumi wa kimuqawama na utamaduni.
-
Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel
May 26, 2020 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameidhinisha kuwa sheria, muswada wa kukabiliana na uhasama na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.
-
Rouhani: Uswisi iwe na nafasi athirifu kuhusu hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani
May 26, 2020 06:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Rais wa Uswisi na kusema: "Tehran inataraji kuwa Uswisi itakuwa na nafasi athirifu katika kukabiliana na ongezeko la vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran."
-
Kamanda wa IRGC: Uwepo wa majeshi ya Marekani Asia Magharibi unaelekea ukingoni
May 26, 2020 05:55Kamanda wa ngazi za juu katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameikosoa Marekani kwa kufanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kuongeza kuwa, zama za uwepo wa majeshi ya Marekani katika eneo zinakaribia kumalizika.
-
"Iran ipo tayari kuzipa nchi za Afrika uzoefu wake wa kukabiliana na corona"
May 25, 2020 22:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).
-
Iran yaonesha ishara ya kuidhibiti corona, yafungua Haram za Imam Ridha na bibi Maasuma AS + Video
May 25, 2020 07:47Milango ya maeneo ya ibada na ziara yaani Haram za Imam Ridha AS, Imam wa Nane kutoka kizazi cha Bwana Mtume Muhammad SAW huko Mash'had na Haram ya Bibi Maasuma SA, ndugu wa kike wa Imam Ridha AS iliyoko Qum, kusini mwa Tehran leo Jumatatu asubuhi zimefunguliwa ikiwa ni ishara ya wazi ya kuzidi kudhibitiwa ugonjwa wa corona nchini Iran.
-
Larijani: Kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa Asia Magharibi
May 25, 2020 07:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa na muhimu katika eneo la Asia Magharibi mabadiliko ambayo kwa taufiki ya Mwenyezi Mungu yataishia kwenye kukombolewa Quds na ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.