-
Hatua ya Marekani ya kusitisha mchango wake wa kifedha kwa Shirika la Afya Duniani
Apr 15, 2020 08:22Rais Donald Trump wa Marekani ametelekeza kivitendo tishio lake la kusitisha mchango wa kifedha ya nchi hiyo kwa shirika la Afya Duniani (WHO). Trump amedai kuwa, WHO imefeli katika kutekeleza majukumu yake.
-
Kukabiliana na Corona; Changamoto za kimataifa za kuokoa maisha ya wanadamu
Apr 15, 2020 03:13Kuhatarisha afya ya watu kwa malengo ya kisiaisa si tu kuwa ni kinyume cha sheria bali ni ukatili. Hiyo ni kauli ya madakatari na wataalamu 550 wanachama wa Baraza la Kitiba la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambao wamemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kubainisha nukta hiyo huku wakilalamikia kuendelea sera za vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran.
-
Raisi: Jeshi la IRGC lipo kwenye medani na kando ya wananchi kwa nguvu zake zote
Apr 14, 2020 23:27Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC lipo pamoja na wananchi kwa uwazo wake wote.
-
Maambukizi ya corona yapungua katika mikoa 16 nchini Iran
Apr 14, 2020 23:06Naibu Waziri wa Afya nchini Iran amesema mkondo wa kupungua maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona unashuhudiwa katika mikoa 16 nchini Iran.
-
Zarif: Marekani imepoteza fursa ya kuuacha uraibu wake wa vikwazo
Apr 14, 2020 03:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, virusi vya corona ilikuwa fursa nzuri kwa Marekani ya kuacha uraibu ilionao wa kuweka vikwazo, lakini Washington imepoteza fursa hiyo.
-
Rouhani: Ubeberu wa Marekani ni kirusi hatari kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona
Apr 13, 2020 22:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Venezuela na kusema ubeberu wa Marekani ni hatari zaidi kwa wanadamu kuliko kirusi cha corona. Rais wa Iran ameongeza kuwa kujitakia makuu na kutumia mabavu watawala wa Marekani ni mambo ambayo yanayashinikiza mataifa yanayojitegemea na yanayotaka kuwa na uhuru kamili.
-
Zarif azungumza na mawaziri wa mambo ya nje wa Qatar na Uturuki kuhusu Afghanistan, corona
Apr 13, 2020 22:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Qatar kuhusu matukio ya hivi karibuni kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Afghanistan.
-
Covid-19, hali yazidi koboreka Iran, corona yazidisha wasiwasi katika nchi maskini
Apr 13, 2020 07:01Nchi zote dunia zinaendelea kupambana vikali na maambukizi ya virusi vya corona huku kukiwepo baadhi ya habari za kutia matumaini na nyingine zinazotia wasiwasi kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Vikwazo vya Marekani ni "mhimili wa tano" wa virusi vya corona
Apr 13, 2020 05:59Ofisi ya mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema kuwa, vikwazo ni "mhimili wa tano" (fifth column) wa ugonjwa wa Covid-19 na kwamba, kila hatua inayodhoofisha uwezo wa taifa lolote wa kukabiliana na virusi vya corona inasaidia kusambaza zaidi virusi hivyo na kudhoofisha mapambano ya kimataifa ya kukabiliana na janga hilo.
-
Karibu watu 44,000 wapata afueni ya corona nchini Iran
Apr 12, 2020 07:50Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Matibabu ya Iran imetangaza kuwa, hadi leo mchana watu 43 elfu na 894 walisharuhusiwa kurudi nyumbani kutoka mahospitalini baada ya kupata nafuu kikamilifu.