-
Uchaguzi umemalizika, zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Iran
Feb 22, 2020 03:33Ijumaa ya jana tarehe 21 Februari mamilioni ya Wairani walielekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi wa kwanza mdogo wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran.
-
Mousavi: Wairani hawaithamini Marekani wala vikwazo vyake dhidi yao
Feb 21, 2020 23:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radimali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo wanachama wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, serikali, taifa na nguzo zote za Jamhuri ya Kiislamu haziipi thamani Marekani wala vikwazo vyake vya kidhalimu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kaulimbiu ya "Mauti kwa Marekani" imethibiti kwa kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi
Feb 21, 2020 11:33Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, amesema, wananchi wa Iran wameifanya ithibiti sha'ar na kaulimbiu ya "Mauti kwa Marekani" kwa kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Majlisi ya 11 ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na uchaguzi mdogo wa Baraza la 5 la Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi.
-
Vyombo vingi vya habari duniani vyaakisi wananchi wa Iran walivyoshiriki kwa hamasa katika uchaguzi
Feb 21, 2020 11:30Vyombo mbalimbali vya habari duniani vimeakisi namna wananchi katika Iran ya Kiislamu walivyoshiriki kwa wingi na kwa hamasa katika uchaguzi wa Bunge la 11 na uchaguzi mdogo wa Baraza la 5 la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi uliofanyika leo nchini kote.
-
Idadi ya waliofariki kwa COVID 19 Iran yafikia watu wanne, walioathirika ni 14
Feb 21, 2020 11:21Idadi ya watu wote waliokumbwa na kirusi cha COVID 19 nchini Iran imefikia 18 ambapo wanne miongoni mwao wamefariki dunia.
-
Uchaguzi, sherehe ya kitaifa katika kutimia mwaka wa 41 wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 21, 2020 05:44Duru ya 11 ya uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) imeanza leo Ijumaa tarehe 21 Februari katika mji mkuu Tehran na maelfu ya miji na vijiji katika pembe zote za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki uchaguzi wa Bunge na wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu + Video
Feb 21, 2020 03:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi, amepiga kura katika dakika za awali kabisa za kuanza zoezi la upigaji kura za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uchaguzi mdogo wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu Wanaomchagua na Kusimamia Kazi za Kiongozi Muadhamu.
-
Shamkhani: Waislamu watafanya sherehe mjini Damacus Syria, za kutimuliwa Wazayuni Palestina
Feb 21, 2020 03:35Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko nchini Syria kwa ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo na kwamba Waislamu watafanya sherehe mjini Damascus kusherehekea kutimuliwa Wazayuni katika eneo hili.
-
Leo Ijumaa, wananchi wa Iran wanashiriki katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu
Feb 20, 2020 23:35Uchaguzi wa Bunge la 11 la Iran linalojulikana kwa jina la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na uchaguzi wa kwanza mdogo wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, unafanyika leo Ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi katika kona zote za Iran.
-
Brigedia Jenerali Heidari: Maadui wanaliogopa taifa la Iran kuliko silaha
Feb 20, 2020 23:14Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wanaliogopa taifa hili zaidi ya wanavyohofishwa na silaha za nchi hii.