-
Raisi: Marekani ikituvamia tutavitimua vikosi vyake Ghuba ya Uajemi
Feb 07, 2020 23:29Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran ameonya dhidi ya tishio lolote la adui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kubainisha kuwa, iwapo Washington itathubutu kuchukua hatua yoyote iliyo dhidi ya Iran basi taifa hili litawatimua hadi chini ya Ghuba ya Uajemi wanajeshi wa Marekani.
-
Ayatullah Kashani: Mapinduzi ya Kiislamu yamezuia ubeberu wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Feb 07, 2020 10:55Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, lau kama si Mapinduzi ya Kiislamu hii leo Marekani na utawala haramu wa Israel zingekuwa zinaidhibiti Iran na ulimwengu wa Kiislamu.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran ni kinyume cha hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu
Feb 06, 2020 06:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Marekani imefunga njia zote za miamala ya kifedha ya benki ya Iran katika uga wa ununuzi wa dawa na chakula."
-
Rouhani: Vikwazo vya madawa vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni kitendo cha kigaidi
Feb 06, 2020 04:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka sheria na kanuni za kimataifa na maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa, vikwazo hivyo ni hatua ya kigaidi.
-
Rouhani: Kusimama kidete na umoja wa wananchi wa Iran; sababu ya kushindwa njama za Marekani
Feb 05, 2020 21:50Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kusimama kidete na umoja wa wananchi wa Iran ni sababu ya kufeli njama zote za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kugonga mwamba mpango wa Marekani uitwao "Muamala wa Karne"
Feb 05, 2020 21:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei amesema mpango wa Marekani unaoitwa "Muamala wa Karne" ni mpango wa kipumbavu, wa kihabithi na uliogonga mwamba.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne utakufa kabla ya Trump kufa
Feb 05, 2020 10:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango wa Marekani uliopachikwa jina la Muamala wa Karne utakufa hata kabla ya Trump mwenyewe kufa na kuongeza kuwa, njia ya kukabiliana na mpango huo ni kusimama kidete na kufanya jihadi kishujaa taifa na makundi ya Palestina pamoja na uungaji mkono wa ulimwengu wa Kiislamu kwa taifa hilo.
-
Sisitizo la Iran na Algeria kuhusu msimamo imara dhidi ya 'Muamala wa Karne'
Feb 05, 2020 03:56Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Algeria wamesisitiza kuhusu ulazima wa kuchukuliwa msimamo imara pamoja na kuwepo mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabliana na njama ya Kimarekani-Kizayuni iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Zarif: Iran inaunga mkono haki za wananchi wa Palestina
Feb 05, 2020 00:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono haki za wananchi wa Palestina katika kuainisha hatima na mustakabali wao.
-
Shamkhani: Muamala wa Karne ni mwendelezo wa uwepo wa Daesh kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu
Feb 04, 2020 10:27Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa Muamala wa Karne ni mchezo wa Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kwa lengo la kuendelea kuwepo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kueneza chuki dhidi ya Uislamu.