-
Mkuu wa Shirika la Hija la Iran aelekea Saudia kufuatia mwaliko rasmi
Dec 07, 2019 08:51Mkuu wa Shirika la Hija na Ziyara la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Saudi Arabia kufuatia mwaliko rasmi wa Waziri wa Hija na Umrah wa nchi hiyo.
-
Iran yazindua drone mpya yenye uwezo mkubwa wa kivita
Dec 07, 2019 08:46Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua ndege mpya isiyo na rubani (drone) yenye uwezo mkubwa wa kioparesheni na kivita.
-
Zarif azikosoa nchi za Magharibi kwa kunyazia kimya maghala ya silaha za nyuklia ya Israel
Dec 07, 2019 00:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekemea majaribio ya kombora linaloweza kubeba kichwa cha nyuklia yaliyofanywa na utawala haramu wa Israel na amezikosoa vikali Marekani na nchi za Ulaya kutokana na kunyamaza kimya mbele ya maghala ya silaha za nyuklia za utawala huo.
-
Ayatullah Aboutorabi Fard: Licha ya vikwazo vya Marekani kiwango cha biashara cha Iran ni cha kupongezwa
Dec 06, 2019 10:04Hatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa hapa mjini Tehran amesema kuwa, hii leo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatajika katika nyuga tofauti za sayansi na uhandisi, na kwamba licha ya vikwazo mbalimbali ilivyowekewa na Marekani lakini kiwango cha biashara cha nchi hii ni cha kupongezwa.
-
Tahadhari ya Russia kuhusu uwezekano wa kusambaratika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Dec 06, 2019 07:00Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 wanachama wengine wa makubaliano hayo wamekuwa wakitilia mkazo udharura wa kulindwa mapatano hayo ya kimataifa kutokana na umuhimu wake katika kulinda amani na usalama wa kimataifa.
-
Iran: Ushirikiano na nchi za eneo letu ni moja ya vipaumbele vyetu vikuu
Dec 06, 2019 04:01Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuzipa nchi za eneo hili utaalamu, mafanikio na uzoefu wake katika nyuga zote hasa kwenye sekta ya maji, ili nchi zote za eneo hili ziweze kunufaika ya tajiriba yake hiyo nzuri.
-
Zarif azijibu nchi tatu za Ulaya "zilizoishitaki" Iran kwa Umoja wa Mataifa + Video
Dec 05, 2019 23:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa madai yaliyotolewa na nchi tatu za Ulaya katika barua yao kwa Umoja wa Mataifa dhidi ya uwezo wa makombora wa Iran ni ya uongo na lengo lake ni kuficha kushindwa nchi hizo kuheshimu angalau kidogo ahadi zao katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Waziri wa Mafuta wa Iran: Hatutafumbia macho haki ya Iran
Dec 05, 2019 23:21Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kamwe Tehran haitofumbia macho haki yake ya msingi.
-
Tehran; kituo cha udiplomasia wa kisiasa-kiuchumi wa nchi zinazopakana na Iran
Dec 05, 2019 07:30Tehran, mji mkuu wa Iran, katika kipindi cha wiki moja iliyopita, umekuwa mwenyeji wa mawaziri wa nchi jirani za ukanda wa kusini na kaskazini. Aidha katika siku za hivi karibuni mji wa Tehran umekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa ya kieneo.
-
Zarif: Jukumu la kisheria la serikali ya Iraq ni kuzilinda balozi ndogo za Iran
Dec 05, 2019 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuhusiana na shambulio la karibuni dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran huko Najaf kuwa: Jukumu la kisheria la serikali ya Iraq ni kuzilinda balozi ndogo za Iran.