-
Uwezo wa makombora wa Iran; nguvu za kiistratijia za kuzuia mashambulizi ya adui + Video
Nov 12, 2019 05:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo hii imepiga hatua kubwa sana kieneo na kimataifa katika masuala ya ulinzi hasa upande wa nguvu za makombora.
-
Zarif: EU haijachukua hatua yoyote ya maana ya kulinda JCPOA
Nov 12, 2019 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa nchi za Ulaya kwa kuakhirisha ahadi zao na kufeli kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA, huku zikiitaka Tehran ifungamane kikamilifu na makubaliano hayo.
-
Rouhani: Iran ina uwezo wa kuunda vifaa vya vituo vya kuzalisha umeme
Nov 12, 2019 01:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mafanikio makubwa ya kisayansi nchini Iran na kusema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina uwezo mkubwa katika kuunda vifaa na mashine zinazotumika katika vituo vya kuzalisha umeme."
-
Kamanda: IRGC imejizatiti kwa makombora na drone za kisasa
Nov 11, 2019 23:29Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ameashiria kuhusu kuendelea kuimarika uwezo wa kujihami wa Iran na kusema kuwa, taifa hili limejizatiti kwa makombora yenye uwezo wa kulenga shabaha kwa ustadi mkubwa na ndege zisizo na rubani (drones) za kisasa.
-
Rais Rouhani: Uwezo wa kinyuklia wa Iran upo katika hali bora kabisa
Nov 11, 2019 09:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ustawi na maendeleo ya taifa hili katika uga wa teknolojia ya nyukllia na kusema kuwa, hii leo Iran ipo katika hali na mazingira bora kabisa kuliko wakati wowote ule katika uga wa uwezo wa teknolojia ya nyuklia.
-
Iran: Tuko tayari kuzipa nchi za Ghuba ya Uajemi utaalamu wetu wa nyuklia
Nov 10, 2019 23:12Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuzipa nchi za Ghuba ya Uajemi uzoefu na utaalamu wake wa nyuklia.
-
Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo
Nov 10, 2019 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamesimama kidete pamoja mbele ya mashinikizo ya ajinabi
Nov 10, 2019 09:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema kuwa, hii leo wananchi wa Iran wamejiandaa kuliko wakati wowote ule kwa ajili ya kujitolea na kutetea nchi hiyo.
-
Iran: Wakala wa IAEA kuchukuwa vipimo vya urani iliyorutubishwa Fordow + Video
Nov 09, 2019 23:17Msemaji wa Taasisi na Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) leo Jumapili watachukua vipimo vya urani iliyorutubishwa kwenye kituo cha nyuklia ya Fordow, hapa Iran.
-
Kuwekewa vikwazo taasisi za kiulinzi za Iran; ishara ya kukata tamaa na kughadhibika White House
Nov 09, 2019 10:18Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa taarifa nlikilaani hatua ya utawala wa kiistikbari, unaopenda kujitanua na wa kigaidi wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Kamandi Kuu ya Vikosi vya Majeshi ya Iran, makamanda na viongozi kadhaa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu.