-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW
Oct 23, 2021 09:01Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad SAW.
-
Mchango wa Ruqayyah (a.s) Katika Kufikisha Ujumbe wa Ashura Kwa Walimwengu
Sep 11, 2021 21:51Assalaam alaykum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu 1442 Hijria
Jul 19, 2021 09:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe kwa Waislamu wote duniani kwa mnasaba wa siku hizi za Hija akisema kuwa kuendelea majonzi ya nyoyo za Waislamu wenye hamu kubwa ya kushiriki katika ugeni wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu ni mtihani wa muda na wa kupita.
-
Kumbukizi ya kuuawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as)
Jul 18, 2021 01:01Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalum kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume SAW.
-
Kinara wa Mapinduzi Mali atangaza baraza jipya la mawaziri
Jun 12, 2021 03:12Kinara wa mapinduzi ya kijeshi Mali ametangaza serikali mpya yenye maafisa wa kijeshi.
-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya waandishi na vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
May 20, 2021 03:47Zaidi ya Wapalestina 230 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kikatili ya Israel yaliyoanza yapata siku kumi zilizopita. Zaidi ya 63 kati ya waliouliwa shahidi ni watoto na karibu 40 ni wanawake.
-
Kifo cha Bibi Khadija (as), mke mwema na kipenzi cha Mtume Muhammad (saw)
Apr 24, 2021 05:07Siku hiyo maradhi yalimzidia Bibi Khadija binti Khuwailid. Alikuwa akitafakari kuhusu njia ndefu iliyokuwa mbele yake.
-
Merkel asisitiza kutumiwa chanjo ya Russia katika nchi za Umoja wa Ulaya
Mar 20, 2021 04:23Kansela wa Ujerumani amesisitiza kuwa, chanjo ya corona ya Sputnik V iliyotengenezwa na Russia itapasa kutumiwa katika Umoja wa Ulaya baada ya kuidhinishwa.
-
Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad SAW
Mar 09, 2021 23:54Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo hatutokuwa na kipindi cha BLW na badala yake tumekuandalieni makala maalumu ya kuzungumzia kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu sana katika ulimwengu mzima.
-
Kubadilishwa Kibla cha Waislamu, Tukio Kubwa na Muhimu
Mar 01, 2021 06:23Tukio la kubadilishwa kibla cha Waislamu kutoka Baitul Muqaddas na kuelekea Masjidul Haram linahesabiwa kuwa miongoni mwa matukio makubwa na yenye taathira kubwa sana katika historia ya Uislamu ambalo pia lilikuwa na athari nyingi za kustaajabisha.