-
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama
Feb 24, 2021 05:16Tarehe 21 mwezi huu wa Februari ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Lugha, wapenzi wasikilizaji, ni kitu muhimu sana katika maisha ya kiumbe mwanadamu.
-
Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu
Feb 07, 2021 06:58Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 03:25Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.
-
Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo
Feb 06, 2021 04:06Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Sera ya "Si Mashariki, Si Magharibi" katika mahubiri ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2021 08:18Makala hii itabainisha chimbuko na historia ya kaulimbiu na sera ya Si Mashariki, Si Magharibi katika mageuzi ya kifikra na kisiasa nchini Iran, duniani na katika mahubiri ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Juhudi za Iran za kuimarisha uthabiti, usalama na ushirikiano kati ya nchi za eneo
Feb 01, 2021 02:19Siasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu usalama wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimesimama juu ya msingi wa usalama wa pamoja. Ni kwa msingi huo ndipo ikaamini kuwa kuvurugwa usalama wa eneo ni kwa madhara ya nchi zote za eneo hili.
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 05:29Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Rwanda kutotoa kibali kwa Chuo Kikuu au taasisi ya elimu isiyomiliki majengo +SAUTI
Dec 24, 2020 11:56Serikali ya Rwanda imesema kwamba hakuna atakayeruhusiwa tena kufungua chuo kikuu au taasisi huria ya masomo ya juu katika majengo ya kupanga.
-
Jumamosi, 05 Disemba, 2020
Dec 05, 2020 00:47Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 5 Desemba 2020 Miladia.
-
Serikali ya Uganda ina safari ndefu ya kupambana na ufisadi +SAUTI
Dec 04, 2020 13:54Serikali ya Uganda imejitahidi kufutilia mbali ufisadi na ulaghai lakini safri bado ni ndefu sana.