-
Mahakama ya Katiba CAR yamuondoa Bozize na wenzake katika kinyang'iro cha urais +SAUTI
Dec 04, 2020 13:48Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kati imeondoa majina 16 ya wagombea wa kiti cha Urais likiwemo la rais wa zamani wan chi hito Francosi Bozize.
-
Maandamano makubwa ya kupinga vitendo vya polisi vya utumiaji mabavu na ubaguzi nchini Ufaransa
Nov 30, 2020 23:05Kufuatia kuongezeka migogoro ya kijamii na kisiasa nchini Ufaransa katika miezi ya hivi karibuni, kumeshuhudiwa ongezeko la vitendo vya polisi vya utumiiaji mabavu na ubaguzi wa rangi. Maovu hayo ya polisi ya Ufaransa yamepelekea kuibuka maandamano makubwa ya wananchi wanaolalamikia hali hiyo.
-
Matukio ya Kiislamu: Waislamu Tanzania waadhimisha Maulidi ya Mtume SAW +SAUTI
Oct 30, 2020 12:31Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amehutubia Baraza la Maulidi na kuwataka Waislamu kudumisha upendo na ushirikiano ili kumuenzi Bwana Mtume SAW.
-
Serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso yashtakiwa nchini Ufaransa +SAUTI
Aug 24, 2020 11:57Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kutoa ruzuku kwa usawa kwa vyama vya upinzani +SAUTI
Aug 24, 2020 11:52Serikali ya Uganda imetakiwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya vyama vya upinzani kama msingi imara wa kuthibitisha demokrasia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI
Aug 21, 2020 11:18Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.
-
Maytham al-Tammar; Kigezo cha Subira na Kusimama Kidete (Kumbukumbu ya kuuawa kwake shahidi)
Aug 12, 2020 08:57Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Maytham al-Tammar mmoja wa masahaba na wafuasi wa Mtume SAW na Imam bin Abi Talib AS ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na Imani thabiti, subira na msimamo usiotetereka katika njia ya haki.
-
Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI
Jul 28, 2020 12:37Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo.
-
Masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali Uganda yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti corona yamelegezwa+Sauti
Jul 23, 2020 00:32Serikali ya Uganda imelegeza masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali nchini humo yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti maambukizo ya virusi vya Corona
-
Binti wa hayati Patrice Lumumba, ataka mabaki ya mwili wa baba yake yarejeshwe DRC+Sauti
Jul 22, 2020 14:13Juliana Amato Lumumba, binti wa waziri mkuu wa zamani wa Kongo hayati Patrice Emery Lumumba, amemwandikia barua mfalme Philippe wa Ubelgiji ya kumtaka ajitwishe mzigo wa kurejesha mabaki ya mwili wa hayati baba yake