Serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso yashtakiwa nchini Ufaransa +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/uncategorised-i63007-serikali_ya_rais_denis_sassou_nguesso_yashtakiwa_nchini_ufaransa_sauti
Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Aug 24, 2020 11:57 UTC

Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.

Serikali ya Congo Brazzaville imekuwa ikilalamikiwa kwa kuua wapinzani.