Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI
Aug 21, 2020 11:18 UTC
Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.
Rais Yoweri Museveni kwa upande wake amewaonya wanasiasa wanaotumia lugha chafu na ya matusi dhidi ya wanasiasa wa vyama vingine.
Tags