Matukio ya Kiislamu: Waislamu Tanzania waadhimisha Maulidi ya Mtume SAW +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/uncategorised-i64325-matukio_ya_kiislamu_waislamu_tanzania_waadhimisha_maulidi_ya_mtume_saw_sauti
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amehutubia Baraza la Maulidi na kuwataka Waislamu kudumisha upendo na ushirikiano ili kumuenzi Bwana Mtume SAW.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 30, 2020 12:31 UTC

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amehutubia Baraza la Maulidi na kuwataka Waislamu kudumisha upendo na ushirikiano ili kumuenzi Bwana Mtume SAW.