uncategorised
  • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Mahdi (AF)

    Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Mahdi (AF)

    Apr 21, 2019 01:32

    Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama, Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake).

  • Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Sajjad AS

    Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Sajjad AS

    Apr 10, 2019 13:34

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika dakika hizi za kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Kabla ya jambo lolote tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa wapenzi wote wa Ahlul Bait AS na wapenzi wote wa haki duniani kwa mnasaba huu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.

  • Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Husain AS) 

    Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Husain AS) 

    Apr 09, 2019 05:25

    Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo. 

  • Kipindi maalum cha uzawa wa Imam Ali (as)

    Kipindi maalum cha uzawa wa Imam Ali (as)

    Mar 16, 2019 02:10

    Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali (as) katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.

  • Kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Hadi (AS)

    Kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Hadi (AS)

    Mar 10, 2019 04:37

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, tumo kwenye masiku ya mwezi mtukufu wa Rajab ambapo tarehe 3 ya mwezi huu mwaka 254 hijria ni siku aliyokufa shahidi mwana mwengine mtoharifu wa Bwana Mtume Muhammad (SAW).

  • Bibi Fatimatu-Zahra (SA), Mama wa Mema na Mazuri Yote

    Bibi Fatimatu-Zahra (SA), Mama wa Mema na Mazuri Yote

    Feb 25, 2019 12:54

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jamadu Thani mwaka wa Hijria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimatu-Zahra (sa), binti wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe wa Bwana Mtume SAW.

  • Kwa dhambi gani ameuawa?

    Kwa dhambi gani ameuawa?

    Feb 20, 2019 05:14

    Mwaka 61 Hijria koo la mtoto mchanga aliyekuwa na umri wa miezi sita tuu wa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) likatwa kwa mshale wa adui wa Allah na Mtume wake aliyejulikana kwa jina la Harmala katika medani ya Karbala.

  • Jumanne tarehe 19 Februari 2019

    Jumanne tarehe 19 Februari 2019

    Feb 19, 2019 00:23

    Leo ni Jumanne tarehe 13 Jamadithani 1440 Hijria sawa na Februari 19 mwaka 2019.

  • Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

    Feb 12, 2019 06:36

    Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.