uncategorised
  • Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 02, 2019 09:45

    Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.

  • Mchango wa ibra katika maisha ya mwanadamu

    Mchango wa ibra katika maisha ya mwanadamu

    Jan 19, 2019 03:44

    Hamu ya kutaka kubakia hai na kuishi daima humlazimisha mwanadamu kuchagua njia na mbinu bora zaidi za kuishi. Mwanadamu huwa kama mchoraji ambaye hufanya jitihada za kuchora picha na mchoro mzuri zaidi wa maisha yake.

  • Zaynab SA Nuru ya Ahlul Bayt wa Mtume + Sauti

    Zaynab SA Nuru ya Ahlul Bayt wa Mtume + Sauti

    Jan 11, 2019 13:41

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii maalumu tuliyokuandalieni kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Bibi Zaynabul Kubra SA. Ni matumaini yetu mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.

  • Zainab, Simba Jike Binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu

    Zainab, Simba Jike Binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu

    Jan 11, 2019 13:22

    Tarehe 5 Jamadil Awwal inasadifiana na siku aliyozaliwa Bibi Zainab, simba jike binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu. Katika siku hiyo mwaka wa tano Hijria Mwenyezi Mungu SW alimtunuku Ali bin Abi Twalib na Bibi Fatima binti Muhammad (saw) mtoto wa kike ambaye walimpa jina la Zainab. Alizaliwa baada ya kuundwa dola la kwanza la Kiislamu mjini Madina ambalo lilitokana na mapinduzi makubwa ya kiroho duniani na yaliongozwa na baba yake, Mtume wa Allah, Muhammad bin Abdullah.

  • Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO

    Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO

    Jan 09, 2019 05:18

    Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.

  • Frikwensi

    Frikwensi

    Dec 22, 2017 02:23

    Frikwensi za Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran

  • Kwa mnasaba wa kufariki dunia Bibi Maasuma SA

    Kwa mnasaba wa kufariki dunia Bibi Maasuma SA

    Dec 17, 2018 12:31

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Faatima al Maasuma 'Alayha Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).

  • Haki za binadamu, kuanzia nara hadi matendo

    Haki za binadamu, kuanzia nara hadi matendo

    Dec 12, 2018 07:37

    Jumatatu ya tarehe 10 Disemba wiki hii dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu. Hii leo suala la Haki za binadamu limekuwa miongoni mwa mijadala muhimu zaidi katika fikra za walimwengu na kwenye duru mbalimbali za kimataifa.

  • Maneno na Sira ya Mtume Mtukufu SAW; mwongozo wa umoja wa ulimwengu wa Kiislamu

    Maneno na Sira ya Mtume Mtukufu SAW; mwongozo wa umoja wa ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 05, 2018 06:36

    Katika kipindi cha miaka 10 aliyoishi katika mji mtakatifu wa Madina, Mtume Mtukufu SAW alikuwa mfano unaong'ara na usio na mfano wake wa kuimarisha umoja na udugu wa Kiislamu katika jamii ya Kiislamu.