uncategorised
  • Abbas bin Ali (AS) alivyopambika kwa fadhila kubwa za uungwana

    Abbas bin Ali (AS) alivyopambika kwa fadhila kubwa za uungwana

    Apr 20, 2018 11:58

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS na ambaye alikuwa jemedari shujaa na uti wa mgongo wa Imam Husain AS katika mapambano ya Karbala.

  • Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)

    Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)

    Apr 19, 2018 16:01

    Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo.

  • Radiamali ya Korea Kaskazini dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Uingereza katika Peninsula ya Korea

    Radiamali ya Korea Kaskazini dhidi ya uwepo wa kijeshi wa Uingereza katika Peninsula ya Korea

    Apr 17, 2018 20:54

    Korea Kaskazini imesema kuwa hatua ya Uingereza kutuma manowari zake katika Peninsula ya Korea ni sawa na kutangaza vita dhidi ya nchi hiyo.

  • 27 Rajab, siku ya kubaathiwa Mtume wa nuru kuwaongoza wanadamu

    27 Rajab, siku ya kubaathiwa Mtume wa nuru kuwaongoza wanadamu

    Apr 13, 2018 16:00

    Tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa utume Nabii Muhammad bin Abdullah (saw) kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka. Mtukufu huyo wa daraja alikuwa anapitisha mwaka wa arubaini wa umri wake uliojaa baraka na katika miaka yote hiyo watu walikuwa wakimpongeza kwa ubora wa tabia na uaminifu wake.

  • Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA)

    Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA)

    Apr 13, 2018 15:56

    As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine cha makala ya wiki, ambacho hii leo kitazungunmzia malengo ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA), karibuni.

  • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim AS

    Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim AS

    Apr 11, 2018 12:00

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Leo wasikilizaji wapenzi tumekuandalieni kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim, Imam wa Saba katika silisila ya Maimamu wa kizazi kitoharifu cha Bw. Mtume Muhammad SAW. Leo tutatoa sira na historia fupi ya mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na Makala hii fupi tuliyokuandalieni kwa mnasaba huu. Karibuni.

  • Afya kwa Wote, Kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa ya Afya

    Afya kwa Wote, Kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa ya Afya

    Apr 07, 2018 08:57

    Shirika la Afya Duniani (WHO) ni miongoni mwa taasisi zilizoanzishwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutimiza moja ya malengo yake muhimu yaani kuhakikisha kila mtu anapata huduma za afya na siha.

  • SAUTI, Maalim Seif: Amri ya uhamiaji Tanzania ya kuwapangia Watanzania mahala pa kusafiria kuelekea nje inashangaza

    SAUTI, Maalim Seif: Amri ya uhamiaji Tanzania ya kuwapangia Watanzania mahala pa kusafiria kuelekea nje inashangaza

    Apr 02, 2018 12:15

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Wanachi (CUF), Maalif  Seif Sharif  Hamad, ameonyesha kushangazwa na amri ya idara ya uhamiaji Tanzania Bara, kutowaruhusu Watanzania waliochukulia pasipoti upande huo (bara) kusafiria kutokea Zanzibar kuelekea nchi nyingine.

  • Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Mar 30, 2018 11:45

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.