uncategorised
  • Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS

    Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS

    Mar 27, 2018 13:46

    Siku ya Kumi ya Mwezi wa Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS. Mwaka 195 Hijria Qamaria katika siku kama hii Imam Mohammad Taqi AS ambaye ni mashuhuri kwa lakabu ya Jawad kwa maana ya mkarimu, alizaliwa katika mji wa Madina. Ni Imamu wa Tisa katika kizazi cha Maimamu 12 kutoka katika Nyumba ya Mtume SAW .

  • Ung'ang'anizi wa Marekani wa kuendelea kuweko wanajeshi wake nchini Iraq

    Ung'ang'anizi wa Marekani wa kuendelea kuweko wanajeshi wake nchini Iraq

    Mar 24, 2018 21:49

    Msemaji wa komandi ya operesheni za kijeshi ya Marekani huko magharibi mwa Iraq amedai kuwa bado kuna udharura wa kuweko wanajeshi wa nchi hiyo katika eneo hilo.

  • Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa la kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 23, 2018 03:27

    Viongozi wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa walikutana jana Alkhamisi pambizoni mwa mkutano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia suala la makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Barua ya malalamiko ya Syria kwa Umoja wa Mataifa

    Barua ya malalamiko ya Syria kwa Umoja wa Mataifa

    Mar 22, 2018 21:51

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeandika barua mbili kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kwa Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kulalamikia uungaji mkono unaoendelea kufanywa na baadhi ya nchi zenye mfungamano na kambi ya Magharibi kwa makundi ya kigaidi nchini humo.

  • Kwa mnasaba wa siku ya kuuawa shahidi Imam Hadi AS

    Kwa mnasaba wa siku ya kuuawa shahidi Imam Hadi AS

    Mar 20, 2018 18:27

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali al Hadi ambaye alikuwa miongoni mwa wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW).

  • Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Muhammad Baqir AS

    Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Muhammad Baqir AS

    Mar 18, 2018 12:25

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, katika usiku kama wa leo anga kimya na tulivu ya mji wa Madina iliajabia nuru iliyoangaza kwenye nyumba ya Imam Sajjad (AS); nuru ambayo mwanga wake ulitandawaa kwenye anga yote hiyo ya mji huo. Ilikuwa ni nuru ya sura ya umaasumu, ing'arayo na kumeremeta ya mwana aliyebarikiwa, wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW na kuenea hadi mbinguni.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia

    Mar 09, 2018 22:00

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amewasili Addis Ababa kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ethiopia.

  • Kuzaliwa Mbora wa Wanawake, Bibi Fatima al Zahra (as)

    Kuzaliwa Mbora wa Wanawake, Bibi Fatima al Zahra (as)

    Mar 07, 2018 07:37

    Historia na vitabu vya hadithi vinasimulia kwamba, wakati Mtume Muhammad (saw) alipokuwa akisubiri wahyi na ufunuo kutoka kwa Mola wake, malaika Jibrail aliteremka kwake na kumwambia: Ewe Muhammad! Mwenyezi Mungu Mtukufu anakupa salamu na anakuamuru ujitenge na Khadija kwa muda wa siku arubaini.