-
Safari zisizo na tija za maafisa wa jumuiya za kimataifa Ukanda wa Gaza
Sep 08, 2017 22:04Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) Peter Maurer amelitembelea eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kueleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya wakazi wa eneo hilo.
-
Ghadir, sikukuu ya mataifa ya dunia
Sep 08, 2017 02:42Bismillahir Rahmanir Rahim Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Kwanza kabisa na kabla ya kukuleteeni kipindi hiki maalumu, tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa Waislamu wote kwa mnasaba wa sikukuu hii ya Ghadir.
-
Saudi Arabia yaendeleza mauaji dhidi ya watu wa Yemen, UN yaendeleza siasa za kindumakuwili
Sep 06, 2017 23:49Mashambulizi ya jinai zinazofanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya Waislamu wa Yemen yamechukua sura mpya na ya kutisha kutokana na kushadidi mashambulizi ya anga dhidi ya makazi na nyumba za raia.
-
Kwa Mnasaba wa Kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Imam Hadi (as)
Sep 05, 2017 13:00Nyoyo za Waislamu ziling'ara na kufarijika kufiatia uzawa wa Imam wa Kumi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Mtukufu (saw), al-Imam al-Hadi (as).
-
Mahujaji
Aug 31, 2017 01:25Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah
-
Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq
Aug 27, 2017 21:46Juzi Jumamosi tarehe 26 Agosti, Jean-Yves Le Drian na Florence Parly, Mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Ufaransa, waliwasili Baghdad, mji mkuu wa Iraq wakiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Baghdad.
-
Indhari ya Wapalestina kuhusiana na kuendelea njama dhidi ya Masjidul-Aqswa
Aug 22, 2017 07:32Kushtadi njama za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa katika siku za hivi karibuni ambazo zimesadifiana na kumbukumbu ya kuchomwa moto msikiti huo na Wazayuni maghasibu kumepelekea kuibuka wasiwasi mkubwa miongoni mwa Wapalestina na fikra za waliowengi ulimwenguni.
-
Udiplomasia wa kilaghai wa Saudi Arabia kuhusu Iraq
Aug 20, 2017 00:14Msemaji wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq cha Hashdu Sha'abi, Ahmad al Asadi amesema kuwa serikali ya Saudia imeigeukia Iraq ili kujiondoa katika mzingiro wa kisaikolojia katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Saudi Arabia na papatupapatu za kujinasua kwenye kinamasi cha Yemen ilichokitengeneza yenyewe
Aug 15, 2017 23:34Barua pepe zilizofichuliwa ambazo mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia aliwaandikia Martin Indyk balozi wa zamani wa Marekani huko Israel na Stephen Hadley, mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani zinaonyesha kuwa, Muhammad bin Salman alikiri wazi nia ya nchi yake ya kutaka kujipapatua na vita vya Yemen ilivyovianzisha yenyewe.
-
Indhari ya Ujerumani na Russia kuhusu hatari ya kutokea vita kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Aug 12, 2017 09:02Kuongezeka mivutano na kutoleana kauli za vitisho viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kumeitia wasiwasi mkubwa jamii ya kimataifa juu ya uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Mashariki mwa Asia.