-
Watu wa Asili, Tabaka Lililokandamizwa Zaidi katika Dunia ya Leo
Aug 09, 2017 14:08Tarehe 23 Disemba mwaka 1994 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe 9 Agosti kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili (Indigenous). Siku hiyo ilitangazwa rasmi ili kukumbuka na kutetea haki za zaidi ya watu milioni 370 wa asili katika nchi 90 duniani.
-
Takwimu Jumapili Agosti 6
Aug 05, 2017 22:42Leo ni Jumapili tarehe 13 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe sita Julai, 2017 Miladia.
-
Hija kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 31, 2017 02:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili ya jana tarehe 30 Julai alikutana hapa mjini Tehran na maafisa na wasimamiaji wa amaji ya Hija ya mwaka huu na kusema kuwa, ibada ya Hija ni fursa ya kutangaza misimamo na maudhui zinazokubaliwa na Umma wa Kiislamu.
-
Siku ngumu za vita vya Saudia dhidi ya taifa la Yemen
Jul 30, 2017 23:56Katika mwezi wa 29 wa vita vya Saudia dhidi ya Yemen na licha ya hali mbaya sana inayoshuhudiwa nchini humo, jeshi la Yemen likishirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limetoa kipigo kikali kwa utawala wa Aal-Saud na kuzifanya siku za vita hivyo kuwa ngumu kwa Riyadh na washirika wake.
-
Israel; kitovu cha uanzishaji mizozo na migogoro ya Mashariki ya Kati
Jul 27, 2017 21:56Kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na utawala haramu wa Israel kumeyafanya maeneo hayo kuwa kituo cha migogoro yote ya eneo la Mashariki ya Kati.
-
Pirikapirika za Ufaransa za kuwa na nafasi katika nchi iliyogawanyika ya Libya
Jul 27, 2017 07:25Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekutana na kufanya mazungumzo mjini Paris na viongozi wa pande zinazovutania uongozi wa Libya uliogawanyika.
-
UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina
Jul 26, 2017 05:40Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim (as) katika orodha ya turathi za kimataifa zinazokabiliwa na hatari ya kutoweka na limelaani vikali hatua za utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.
-
Hitajio la Marekani la kuwa na irada ya kisiasa ili kutekeleza ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya JCPOA
Jul 25, 2017 07:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la New York Times kwamba, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) sio makubaliano ya pande mbili kati ya Marekani na Iran na kwamba, Washington inapaswa kutambua kuwa, haya ni makubaliano ya pande kadhaa.
-
Kuendelea mgogoro na maandamano ya wananchi nchini Morocco
Jul 23, 2017 22:04Katika muendelezo wa machafuko na malalamiko ya wananchi nchini Morocco, askari usalama wa nchi hiyo wamewatia nguvuni makumi ya raia wa nchi hiyo katika mji wa Al Hoceima.
-
Kupunguzwa wanadiplomasia wa Iran; mchezo wa Kuwait katika uwanja wa Saudia
Jul 21, 2017 08:34Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait kuchukua uamuzi wa kupunguza idadi ya wanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo, balozi mdogo wa nchi hiyo mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kufahamishwa kuwa serikali ya Iran pia ina haki ya kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya Kuwait.