uncategorised
  • Imam Swadiq AS kigezo chema cha Waislamu

    Imam Swadiq AS kigezo chema cha Waislamu

    Jul 19, 2017 12:03

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu ambacho leo kitazungumzia maisha ya Imam Jafar Swadiq AS.

  • Utendaji wa kibaguzi wa Rais wa Ufaransa kuhusiana na bara la Afrika

    Utendaji wa kibaguzi wa Rais wa Ufaransa kuhusiana na bara la Afrika

    Jul 13, 2017 22:22

    Matamshi ya Rais wa Ufaransa kuhusiana na changamoto ya ustaarabu barani Afrika yamekabiliwa na malalamiko na upinzani mkubwa na akthari ya watu wameyatathmini matamshi yake hayo kuwa ni ya kibaguzi.

  • Vazi la Staha la Hijab

    Vazi la Staha la Hijab

    Jul 12, 2017 05:49

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum. Msikilizaji mpenzi, tarehe 21 Tir kwa mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia ambayo inasadifiana na tarehe 12 Julai mwaka wa Milaadia, ni siku ya staha na hijabu nchini Iran.

  • Kuendelea kushikiliwa wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain

    Kuendelea kushikiliwa wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain

    Jul 11, 2017 23:32

    Katika mwendelezo wa kuwakandamiza wapinzani nchini Bahrain, mahakama ya nchi hiyo imetoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela dhidi ya Nabil Rajab, Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kwa tuhuma za kueneza habari za uongo na uvumi kuhusiana na hali ya ndani ya nchi hiyo.

  • Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Jul 04, 2017 23:34

    Katika hali ambayo kundi la kigaidi la Daesh linavuta pumzi zake za mwisho nchini Iraq katika siku hizi za kukaribia mwisho operesheni za kijeshi katika mji wa Mosul na kusafishwa sehemu kubwa ya maeneo hayo na uwepo wa magaidi hao na hivyo kuyafanya macho na masikio ya walimwengu kuelekea katika hatua ya mwisho ya uwepo wa Daesh katika nchi hiyo, duru za kisiasa za nchi hiyo ya Kiarabu zimeripoti habari ya kuweko njama mpya za Marekani katika hatua hiyo.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Umuhimu wa Vyombo vya Mahakama Iran kujihusisha na masuala ya kimataifa

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Umuhimu wa Vyombo vya Mahakama Iran kujihusisha na masuala ya kimataifa

    Jul 04, 2017 03:10

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kujihusisha Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jambo muhimu na kuongeza kuwa: "Vyombo vya Mahakama Vinaweza kutumia nafasi ya kisheria.

  • Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain

    Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain

    Jul 01, 2017 23:45

    Kamati ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya Kupinga Ukandamizaji imetangaza katika ripoti yake kuwa, wapinzani nchini Bahrain wanaendelea kufanyiwa ukandamizaji mateso makubwa.

  • Kuongezeka changamoto za Saudia Arabia kutokana na siasa zake mbovu

    Kuongezeka changamoto za Saudia Arabia kutokana na siasa zake mbovu

    Jun 28, 2017 23:40

    Habari zinaeleza kuongezeka kwa changamoto zinazoikabili Saudi Arabia kutokana na siasa mbovu na za kichokozi zinazotekelezwa na watawala wa nchi hiyo katika eneo.