-
Kutiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali ya CAR na makundi ya waasi
Jun 20, 2017 06:51Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetiliana saini makubaliano ya amani na makundi 13 ya waasi ikiwa ni katika juhudi za kuhitimisha vurugu na machafuko yaliyoigubika nchi hiyo na kuhatarisha usalama wa raia.
-
Ukiukwaji haki za binadamu Bahrain sasa walalamikiwa Ulaya
Jun 15, 2017 23:52Kutokana na kuendelea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Aal Khalifa nchini Bahrain, Bunge la Ulaya sasa limevunja kimya chake na kulalamikia hatua hiyo.
-
Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah
Jun 15, 2017 09:09Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.
-
Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu
Jun 13, 2017 23:46Sambamba na kuendelea mgogoro katika ulimwengu wa Kiarabu, Amir wa Kuwait ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na kuendelea mvutano katika uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na kutahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea hitilafu kati ya Saudi Arabia na Qatar.
-
Pamoja na Imam Hasan al Mujtaba AS (kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa kwake)
Jun 09, 2017 22:40Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Imamu Khomeini, mpiganaji mwanamapinduzi na mwanamuqawama
Jun 03, 2017 21:59Tarehe 14 Khordad sawa na tarehe nne Juni inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa 28 wa kufariki dunia Imamu Khomein (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mambo ya kujichunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhani
Jun 01, 2017 01:16Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambacho kwa leo kitaanza kwa kugusia falsafa na hekima ya funga.
-
Kuongezwa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria
May 31, 2017 03:40Umoja wa Ulaya ukiendeleza siasa zake za chuki na uadui dhidi ya serikali halali ya Syria, umeongeza muda wa vikwazo vyake dhidi ya nchi hiyo.
-
Ukosoaji mkali wa Ujerumani kwa mkataba wa silaha wa Marekani na Saudi Arabia
May 30, 2017 23:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali mkataba wa silaha kati ya Marekani na utawala wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, Washington inaenda katika mkondo usio sahihi.
-
Kuongezeka hukumu za kifo dhidi ya wapinzani nchini Saudi Arabia
May 27, 2017 23:13Mahakama kuu ya utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia imewahukumu adhabu ya kifo wanaharakati 14 kwa kushiriki katika maandamano kwenye eneo la Waislamu wa Kishia la Qatif mwaka 2011.