-
Faili la Trump-Russia na mpasuko wa kisiasa ndani ya Marekani
May 19, 2017 23:33Rais Donald Trump wa Marekani amekosoa kwa njia isiyo ya wazi hatua ya kuteuliwa Mwanasheria Maalumu wa kushughulikia faili la tuhuma za kuingilia Russia uchaguzi wa rais uliofanyika mwaka jana nchini Marekani.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 18, 2017 22:19Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 18, 2017 22:18Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
Maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa Imam Mahdi AS
May 11, 2017 23:28Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Mahdi AS. Tunaianza makala hii fupi kwa kusema: Nuru ya umaanawi ya uwepo wa Imam Mahdi AS imeenea hata katika wakati huu wa "ghaiba" wa kutokuwepo mtukufu huyo machoni mwa walimwengu.
-
Sisitizo la Waziri wa Ulinzi wa Iran la kufuatilia nyendo na harakati zote za adui
May 07, 2017 23:32Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia, kulindwa uthabiti, usalama na kuwepo mlingano wa nguvu katika sekta tofauti na kuongeza kuwa, uwezo na nguvu ya kujilinda katika mazingira ya sasa ya eneo, ni suala ambalo haliwezi kuepukika.
-
Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS
May 01, 2017 05:22Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW.
-
Abul Fadhl Abbas AS, shujaa muungwana
Apr 30, 2017 13:27Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum. Tuko katika siku ya kukumbuka kuzaliwa Hadhrat Abul Fadhl Abbas AS na tunawakaribisha kusikiliza makala hii maalumu ambayo tumekutayarishieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS na ambaye alikuwa jemedari shujaa na nguzo muhimu ya Imam Hussein AS katika mapambano ya Karbala.
-
Imam Hussein AS, kigezo bora kwa wapigania ukombozi
Apr 29, 2017 08:23Tarehe tatu Shaaban ni kumbukumbu ya kuzaliwa shakhsia mkubwa ambaye aliyapa maana kamili maneno ya umaridadi na mapenzi. Ana moyo maridadi, karama, maarifa ya kina na hatimaye yeye ni kielelezo cha maisha ya mwanaadamu aliyekamilika. Leo ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa, Hussein, mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Putin asisitiza udharura wa kuwepo msimamo mmoja katika kupambana na ugaidi
Apr 27, 2017 21:58Rais Vladmi Putin wa Russia amesema katika ujumbe uliosomwa kwenye Mkutano wa Sita wa Usalama wa Kimataifa mjini Moscow kwamba, mapambano dhidi ya ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika yanahitaji kuwa na mtazamo na msimamo mmoja na unaooana.
-
Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Malaria
Apr 23, 2017 06:52Tarehe 25 ya Jumanne ya wiki hii dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Malaria ambayo ilitangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku hiyo ilikuwa fursa kwa walimwengu kutambua vyema zaidi ugonjwa huo na nchi mbalimbali kujifunza kutokana na tajiriba na uzoefu wa nchi mbalimbali juu ya namna ya kudhibiti ugonjwa huo unaoua mamilioni ya watu.