-
Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Malaria
Apr 23, 2017 06:52Tarehe 25 ya Jumanne ya wiki hii dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Malaria ambayo ilitangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Siku hiyo ilikuwa fursa kwa walimwengu kutambua vyema zaidi ugonjwa huo na nchi mbalimbali kujifunza kutokana na tajiriba na uzoefu wa nchi mbalimbali juu ya namna ya kudhibiti ugonjwa huo unaoua mamilioni ya watu.
-
Utumiaji wa mabomu yanayoongozwa kutoka mbali dhidi ya watu wa Yemen, matunda ya safari ya Mattis huko Saudia
Apr 21, 2017 23:12Baada ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis mjini Riyadh, imetangazwa kuwa Washington inachunguza suala la kuiuzia Saudi Arabia mabomu yanayoongozwa kutokea mbali katika mwaka wa tatu wa vita vya nchi hiyo dhidi ya Yemen.
-
Kubadilishwa Kibla cha Waislamu, Tukio Kubwa na Muhimu
Apr 13, 2017 03:27Tukio la kubadilishwa kibla cha Waislamu kutoka Baitul Muqaddas na kuelekea Masjidul Haram linahesabiwa kuwa miongoni mwa matukio makubwa na yenye taathira kubwa sana katika historia ya Uislamu ambalo pia lilikuwa na athari nyingi za kustaajabisha.
-
Jumatano, Aprili 12, 2017
Apr 11, 2017 23:21Leo ni Jumatano tarehe 14 Rajab 1438 Hijria sawa na 12 Aprili 2017 Milaadia.
-
Kwa mnasaba wa kufa shahidi Imam Hadi (AS), nuru ya uongofu na utaalamishaji
Apr 01, 2017 02:00Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wapenzi wasikilizaji, tumo kwenye masiku ya mwezi mtukufu wa Rajab ambapo tarehe 3 ya mwezi huu mwaka 254 hijria ni siku aliyokufa shahidi mwana mwengine mtoharifu wa Bwana Mtume Muhammad (SAW).
-
Imam Baqir AS dhihirisho la mwanadamu aliye kamili
Mar 29, 2017 10:41Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Baqir AS, mmoja wa Maimamu watukufu kutoka katika kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW. Tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa mnasaba huo. Karibuni.
-
Mpango wa kutumwa kundi la kwanza la wanajeshi wa kieneo wa UN Sudan Kusini
Mar 25, 2017 08:54Herve Ladsous Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia oparesheni za kulinda amani ametangaza kuwa kundi la kwanza la kikosi cha wanajeshi wa kieneo walio chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa watakuwa wamewasilii Sudan Kusini hadi mwishoni mwa mwezi Aprili na mwanzoni mwa Mei kufuatia kuvurugika hali ya kisiasa na kibinadamu nchini humo.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatimatuz Zahra SA
Mar 18, 2017 06:07Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyolaziwa Bibi Fatma Zahra as, binti ya Mtukufu Mtume saw. Huku tukitoa mkono wa kheri, Baraka na fanaka tuna matumaini kwamba, mtanufaika nay ale niliyokuandalieni kwa manasaba huu.
-
Watu nusu milioni kuongezeka Cairo, Misri mwaka huu
Mar 12, 2017 14:59Idadi ya watu katika mji mkuu wa Misri, Cairo, itaongezkea kwa nusu milioni mwaka huu, hili likiwa ni ongezeko kubwa zaidi la idadi ya watu mjini duniani, jambo ambalo limezidisha mashinikizo katika uchumi wa Misri ambao ungali unajaribu kujikwamua kutoka katika mgogoro wa kisiasa wa miaka sita sasa.
-
Siku ya Mwanamke Duniani, Nara Tupu au Hakika?
Mar 12, 2017 07:47Tarehe 8 Machi kila mwaka iliainishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ni Siku ya Mwanamke Duniani.