-
Jumatano Januari 25, 2017
Jan 24, 2017 23:26Leo ni Jumatano tarehe 26 Mfunguo Saba Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 25, 2017 Milaadia.
-
Ukiukaji wa haki za binadamu Iran; madai ya kichochezi dhidi ya Iran
Jan 14, 2017 00:26Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch lenye makao makuu yake mjini New York Marekani limechapisha ripoti yake ya mwaka 2016 kuhusiana na hali ya haki za binadamu katika nchi 90 za dunia, ambapo Iran pia imewekwa kwenye ripoti hiyo.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:40Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:39Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Fatima Maasuma, Kigezo cha Elimu na Utakasifu
Jan 08, 2017 07:10Tarehe 10 Rabiuthani ulimwengu wa Kiislamu unakuwa katika makiwa na msiba wa kuondokewa na mwanamke adhimu ambaye katika siku za mwishoni mwa umri wake, aliipamba ardhi ya Iran yaani mji wa Qum baada ya kuelekea katika eneo hilo na kufariki dunia katika mji huo.
-
Juhudi za kurejesha amani na uthabiti nchini Mali
Jan 04, 2017 00:25Sambamba na kuendelea mivutano na machafuko nchini Mali, Rais wa nchi hiyo ametangaza kuwa, utafanyika mkutano wa maridhiano ya kitaifa wenye lengo la kuhitimisha hitilafu zilizopo katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhaba wa chakula barani Afrika
Jan 02, 2017 00:48Maeneo mengi ya bara la Afrika mwaka huu mpya wa 2017 yataendelea kusumbuliwa na uhaba wa chakula na hatari ya baa la njaa na ukame kwa kadiri kwamba, Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi kwamba karibu watu milioni 20 hawatakuwa na usalama wa chakula katika nchi za kaskazini na mashariki mwa Afrika.
-
Himaya ya Umoja wa Mataifa kwa juhudi za Iran, Russia na Uturuki za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Dec 29, 2016 23:17Staffan de Mistura, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia kwamba, anaunga mkono juhudi za Iran, Russia na Uturuki zenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Kuendelea kukosolewa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu vita dhidi ya ugaidi
Dec 25, 2016 00:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amekosoa utendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu masuala ya eneo la Mashariki ya Kati na mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran
Dec 15, 2016 01:59Duru ya 31 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbalimbali duniani.