-
Kukombolewa Halab ni ushindi mkubwa na wa kistratejia
Dec 15, 2016 00:37Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Halab au kwa jina jingine Aleppo kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri, wakazi wa mji huo siku ya Jumanne walimiminika mabarabarani na mitaani kusherehekea kwa vifijo na nderemo ushindi huo mkubwa na wa kistratijia.
-
Filamu ya "Muhammad Rasulullah" yaoneshwa nchini Uturuki
Dec 11, 2016 07:54Tarehe 28 mwezi wa Oktoba filamu ya Muhammad, Mtume wa Mwenyezi Mungu ambayo imetengenezwa nchini Iran ilionyeshwa katika kumbi 300 za sinema nchini Uturuki baada ya kutarjumiwa kwa lugha ya Kituruki na kuambatana na maandishi ya lugha ya Kiingereza.
-
9 Rabiul Awwal, Siku ya Kuanza Uongozi wa Imam wa Zama
Dec 08, 2016 13:13Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika Makala ya Wiki hii ambayo itazungumzia siku ya kuanza uongozi wa Imam wa Zama, Imam Mahdi (as) Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake.
-
Sisitizo la Iran juu ya udharura wa kusafishwa ulimwengu na silaha za atomiki
Dec 07, 2016 00:25Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO) amesema katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Usalama wa Nyuklia unaofanyika mjini Vienna, Austria kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni muungaji mkono mkubwa wa kuweko ulimwengu usio na silaha za nyuklia.
-
Siku ya Kimataifa ya Ukimwi
Dec 01, 2016 01:47Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni katika Makala ya Wiki ambayo juma hili inazungumzia Siku ya Kimataifa ya Ukimwi inayoadhimishwa kila mwaka tarehe Mosi Disemba.
-
Kuendelea ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini Bahrain na wasiwasi wa kimataifa
Nov 24, 2016 11:55Ripoti mbalimbali kutoka nchini Bahrain zinaonyesha kuwa, utawala wa kifalme wa nchi hiyo umeendelea kutumia mbinu na miamala yake ya kipolisi dhidi ya wanaharakti wa kisiasa huku ukiendelea kuwatia mbaroni na kuwahukumu vifungo vya muda mrefu jela wapinzani hao kwa kuwabambikiza tuhuma mbalimbali.
-
Ufufuo na Marejeo ya Wanadamu -18
Nov 23, 2016 07:59Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Ni wakati mwingine umewadia wa kuwa nanyi katika kipindi hiki kinachozungumzia kwa ufupi hatima na marejeo ya wanadamu baada ya dunia hii. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia ulimwengu wa Barzakhi na kusema kuwa ndio nyumba ya kwanza baada ya mwanadamu kufariki dunia. Leo tutazungumzia ulimwengu wa kaburi.
-
Kutolewa hukumu za vifungo vya jumla ya miaka 241 jela kwa wananchi wa Bahrain
Nov 16, 2016 09:10Utawala wa Bahrain katika kipindi cha wiki moja tu umewahukumu raia 18 wa nchi hiyo vifungo vya jumla ya miaka 241 jela.
-
Harakati za Saudi Arabia na Imarati dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Nov 13, 2016 09:05Duru za kisiasa zenye mfungamano na Saudi Arabia kwa siku kadhaa sasa zimeanzisha duru mpya ya harakati za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran.
-
Mazungumzo ya Iran na Umoja wa Ulaya na fursa zilizopo
Nov 10, 2016 23:52Maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels Ubelgiji na kufanya mazungumzo kuhusiana na mambo muhimu yanayolihusu eneo la Mashariki ya Kati pamoja na masuala ya pande mbili.