-
Jumuiya za kutetea haki za binadamu Morocco zataka bendera ya Israel ishushwe
Nov 10, 2016 04:45Jumuiya za kutetea haki za binadamu nchini Morocco zimekasirishwa na kitendo cha kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika jumba la Mkutano wa Kimataifa wa Hali ya Hewa unaofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa
Nov 09, 2016 07:57Tarehe 13 mwezi Aaban mwaka wa Hijria Shamsia ambayo mwaka huu inasadifiana na tarehe 3 Novemba, inatambuliwa hapa nchini Iran kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa.
-
UNESCO yapinga njama za kuiyahudisha Baitul Muqaddas
Nov 09, 2016 07:46Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.
-
Jumatano, 09 Novemba, 2016
Nov 08, 2016 23:04Leo ni Jumatano tarehe 9 Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 9, 2016.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Nov 06, 2016 14:50Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Kushadidi mivutano katika uhusiano wa kisiasa wa Rwanda na Burundi
Nov 02, 2016 23:00Hitilafu na mivutano ya kisiasa kati ya nchi za Rwanda na Burundi imepamba moto tena baada ya kuuawa raia mmoja wa Burundi katika eneo la mpaka wa nchi hizo mbili.
-
Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini
Oct 20, 2016 07:03Tarehe 17 Oktoba ambayo mwaka huu imesadifiana na siku ya Jumatatu, huadhimishwa kila mwaka kwa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini.
-
Kuendelea kukosolewa siasa mbovu za ndani na nje za serikali ya Uturuki kuhusu Syria
Oct 03, 2016 00:27Vyama vya upinzani nchini Uturuki vimeendelea kukosoa vikali siasa za serikali ya chama tawala cha Uadilifu na Ustawi kutokana na ubinafsi wake.
-
Iran yawa ya tatu katika mashindano ya dunia ya Futsal; Rais Rouhani atuma salamu za pongezi
Oct 02, 2016 03:07Timu ya taifa ya mpira wa Futsal ya Iran imeibanjua timu ngumu ya Ureno katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu kwenye mashindano ya dunia yaliyokuwa yakifanyika nchini Colombia na kutwaa nafasi ya tatu ya dunia kwa mara ya kwanza.
-
Wenger atimiza miaka 20 Arsenal; asema wachezaji wa Afrika wamemfaa sana katika soka
Sep 30, 2016 09:31Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa, wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa wenye umuhimu na mchango mkubwa katika taaluma yake ya kufundisha soka..