-
Klabu Bingwa Ulaya: Arsenal yainyuka 2-0 Basel, Walcott ang'ara
Sep 29, 2016 04:43Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya imeendelea katika hatua ya makundi ambapo usiku wa kuamkia leo viwanja vinane vilikuwa msambweni wakati klabu za makundi mbalimbali zilipokutana kuwania pointi tatu muhimu.
-
Udiplomasia wa Kihollywood au Hujuma ya Kisiasa?
Sep 28, 2016 05:48Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki. Ni matumaini yangu kuwa utaendelea kuwa nami hadi mwisho wa makala ya leo itakayozungumzia nafasi ya Hollywood katika siasa za nje za Marekani.
-
Amani na Usalama katika Mtazamo wa Uislamu
Sep 25, 2016 09:28Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia usalama na amani katika mtazamo wa Uislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani.
-
Maytham al-Tammar; Kigezo cha Subira na Kusimama Kidete (Kumbukumbu ya kuuawa kwake shahidi)
Sep 24, 2016 03:17Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi Maytham al-Tammar mmoja wa masahaba na wafuasi wa Mtume SAW na Imam bin Abi Talib AS ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na Imani thabiti, subira na msimamo usiotetereka katika njia ya haki.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Sep 21, 2016 16:12Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Ghadir, hakika ing'arayo katika kitovu cha historia
Sep 19, 2016 06:13Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu tutaendelea kuishukuru neema hii kwa kuikariri aya ya 43 ya Suratul A'araf isemayo:" Alhamdulillah! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye aliye tuhidi kufikia haya. Wala hatukuwa wenye kuhidika wenyewe ingelikuwa Mwenyezi Mungu hakutuhidi.
-
Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33
Sep 18, 2016 05:49Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.
-
Fikra za Imam Hadi AS katika kubainisha Tauhidi na Uimamu
Sep 16, 2016 14:38Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu cha makala ya wiki ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hadi AS.
-
Utawala na uongozi katika fikra za kisiasa za Imam Baqir (as)
Sep 10, 2016 01:02Katika siku hizi ambapo mamilioni ya Waislamu wanaelekea katika ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya ibada ya Hija, jina la Mtume wetu Muhammad (saw) na Ahlu Baiti zake watoharifu linatajwa na kuhuishwa zaidi kuliko wakati wowote mwingine.
-
Kiongozi Muadhamu akitoa darsa khariji ya fikihi (katika picha)
Sep 06, 2016 05:40Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi (Jumanne) ameendelea na darsa zake za "Khariji" ya fikihi (darsa ya daraja la juu kabisa ya fikihi) kwa mnasaba wa kuanza mwaka wa masomo wa Hawza, vyuo vikuu vya kidini nchini Iran. Hapa ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa darsa hiyo.