-
Kuendelea ukosefu wa amani nchini Mali, mwaka mmoja baada ya kutiwa saini makubaliano ya amani
Sep 01, 2016 23:44Maeneo ya kaskazini mwa Mali yameendelea kushuhudia ukosefu wa amani licha ya kupita mwaka mmoja tangu kutiwa saini makubaliano ya kusaka amani nchini humo kati ya serikali na makundi ya wabeba silaha.
-
Imam Jawad, Imam wa Tisa kutoka kizazi cha Bwana Mtume SAW
Sep 01, 2016 13:38Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni leo hii kwa mnasaba wa kukumbuka siku alipouawa shahidi Imam Jawad AS. Tumeona ni vyema katika dakika hizi za kipindi hiki kuzungumzia fadhail na sifa bora za mtukufu huyo.
-
Muhammad bin Zakaria Razi, Tabibu na Mkemia wa Rei
Aug 28, 2016 07:58Tarehe 5 Shahrivar inayosadifiana na 26 Agosti ni siku aliyozaliwa Muhammad bin Zakaria Razi, msomi, tabibu na mkemia mkubwa wa Kiislamu na Kiirani katika karne ya tatu Hijria.
-
Afrika ingali na uwezo wa kuvutia uwekezaji
Aug 27, 2016 23:32Waziri Mkuu wa Japan ameanza ziara yake ya siku mbili huko Kenya kwa lengo la kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Tokyo kwa ajili ya Ustawi wa Afrika mashuhuri kama TICAD.
-
Dunia yaendelea kukosoa ukiukaji wa haki za binadamu wa Saudia
Aug 19, 2016 23:50Ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na Serikali ya Saudi Arabia umeendelea kukosolewa vikali katika duru mbalimbali za kikanda na kimataifa.
-
Kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatima al Maasuma AS
Aug 03, 2016 11:18Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Fatima al Maasuma 'Alayhas Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).
-
Utamu wa kabumbu... Pasi za ajabu katika kandanda... Utafurahi
Jul 04, 2016 04:41Kila mchezo una mvuto wake, lakini kwa mashabiki wa kandanda, watakubaliana nami kuwa, mvuto ulioomo kwenye kipande hiki cha video hawajawahi kuona mfano wake... Pasi ipi imekuvutia zaidi? Nina yakini utashindwa kujua ipi imekumaliza zaidi... Ajabu ni kuwa pasi hizo zimetolewa kwenye michuano migumu, si katika mazoezi...
-
Vijana wa Lamu Kenya wafanya usafi kujitayarisha kwa sikukuu ya Idul Fitr
Jul 02, 2016 08:21Vijana wa Lamu nchini Kenya wameendeleza sunna nzuri ya kufanya usafi kwa ajili ya kujitayarisha kwa sikukuu kubwa ya Waislamu, sikukuu ya Idul Fitr. Video hii inaonesha baadhi ya vijana hao wakiwa kazini wakizungumzia suala hilo...
-
Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...
Jul 02, 2016 05:27Rubani wa ndege hii, bila ya kujali idadi kubwa ya roho za watu zilizoko kwenye dhima yake, alifanya mchezo huu wakati akirusha ndege. Michezo ya namna hii haifai...
-
Jeshi la Iraq liliposhambulia msafara mkubwa wa Daesh nje ya Fallujah
Jul 02, 2016 04:40Baada ya kuzidiwa nguvu katika mji muhimu na wa kiistratijia wa Fallujah nchini Iraq, kundi la Daesh (ISIS) liliamua kukimbia kwenye msafara mkubwa wa magari kuelekea upande wa Syria kwa ajili ya kuunganisha nguvu upya. Hata hivyo jeshi la anga la Iraq liliushambulia vikali msafara huo wa Daesh kama inavyoonesha video hii kutoka Wizara ya Ulinzi ya Iraq.