-
Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah
Jun 27, 2016 03:54Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.
-
Imam Hassan AS, Kigezo cha Ukarimu
Jun 20, 2016 13:53Imam Hassan Mujtaba AS alikuwa mjukuu wa kwanza wa Mtume Muhammad SAW. Alikuwa mwana wa mwanamke mtakatifu, Bibi Fatima Zahra SA. Imam alikuwa dhihiriso la kivitendo la Qur’ani Tukufu na alikuwa mujahid, mwenye subira mbali na kuwa mbeba mwenge wa wote wapiganiao haki duniani.
-
Hujuma ya kigaidi msikitini Afghanistan, wanne wauawa
Jun 10, 2016 23:16Watu wanne wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati magaidi walipoulenga msikiti kwa bomu katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
-
Simba mlipiza kisasi, maisha ya mkufunzi yangelimalizika kama...
Jun 01, 2016 09:08Simba mwenye kisasi cha muda mrefu aamua kumalizia hasira zake kwa mkufunzi wake. Cha ajabu ni kuwa simba jike anaingilia kati kumpoza simba dume, lakini haisaidii kitu. Zaidi ni kuwa simba huyo hamshambulii mkufunzi mwingine, isipokuwa yule yule tu aliye na kisasi naye...
-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 09:02Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Mbwa anavyomuokoa paka mlevi
Jun 01, 2016 08:41Baadhi ya wakati mnyama anaweza kuvunzwa akaelewa kuliko hata baadhi ya wanadamu. Kipande hiki cha video kinaonesha namna mbwa alivyotekeleza vizuri amri za bwana wake na kumuokoa paka mlevi na kumrejesha nyumbani kwa mbinu ya ajabu...
-
Inaposemwa ajali haina kinga ni kama hivi...
Jun 01, 2016 08:33Hawakukosea Waswahili waliposema ajali haina kinga. Tab'an makusudio ya methali hiyo ni katika ajali kama hii...
-
Sokwe ateka mtoto na kuzua kizaazaa
May 31, 2016 08:55Mtoto atumbukia kwenye eneo la sokwe mtu, sokwe anaamua kumteka na matokeo yake...
-
Ukosefu wa umakini ulivyosababisha ajali mbaya kazini
May 31, 2016 08:49Baadhi ya wakati hata uzoefu unapokosa umakini husababisha maafa kama kinavyoonesha kipande hiki cha video
-
Kuhusu hatua ya Saudia ya kuwazuia Wairani kwenda Hija mwaka huu
May 31, 2016 08:37Serikali ya Saudi Arabia imeweka vizingiti vingi vya kuwazuia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenda Hija mwaka huu.