Jun 01, 2016 13:38 UTC

Simba mwenye kisasi cha muda mrefu aamua kumalizia hasira zake kwa mkufunzi wake. Cha ajabu ni kuwa simba jike anaingilia kati kumpoza simba dume, lakini haisaidii kitu. Zaidi ni kuwa simba huyo hamshambulii mkufunzi mwingine, isipokuwa yule yule tu aliye na kisasi naye...

Tags