-
Magaidi wafanya shambulio jingine baya la kigaidi Mali + Video
Feb 09, 2025 02:24Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya Kiafrika ya Mali.
-
Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO
Oct 04, 2024 07:59Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda wa video na ndani yake wanatangaza kuwa operesheni hiyo ni zawadi kwa shahid wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah. Mkanda huo unaonesha mtego kabambe waliowawekea wanajeshi katili wa Israel na vifaru na mabuldoza yao na namna vinavyoteketezwa kimoja baada ya kingine huko Khan Yunus, katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hali ya Karbala wakati wa Arubaini ya Imam Husain AS + Video
Nov 07, 2017 11:27Hali na mazingira ya wakati huu katika ardhi tukufu za Iraq inakuwa ni ya kipekee kabisa katika kila upande. Ni hali na mazingira ambayo hayapatikani katika sehemu yoyote ya dunia.
-
Video: Sehemu ya nguvu za makombora za Iran, mara ya kwanza kusambazwa
Jun 21, 2017 09:48Mitandao mbalimbali ya Iran imesambaza kipande cha video kinachoonesha sehemu ya uwezo mkubwa wa makombora wa Iran na jinsi makombora hayo yalivyo na uwezo wa kupiga shabaha kwa umakini na umahiri wa hali ya juu.
-
VIDEO: Mashambulio ya makombora ya Iran dhidi ya magaidi wa Daesh yameakisiwa kwa wingi duniani
Jun 19, 2017 13:41Mashambulizi ya makombora yaliyofanywa jana usiku (Jumapili) na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH yameakisiwa kwa wingi.
-
Moja ya video zilizochukukliwa na drone za Iran wakati makombora yalipopiga maeneo ya magaidi wa Daesh nchini Syria
Jun 19, 2017 13:35Katika harakati ya kishujaa yenye utaalamu wa hali ya juu, ndege zisizo na rubani za Iran zilikuwa zinapiga picha na kuzituma nchini Iran wakati makombora ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH yalipotua katika maficho ya magaidi wa Daesh.
-
VIDEO: Magaidi wakiingia katika ofisi za huduma kwa raia za Bunge la Iran mjini Tehran
Jun 08, 2017 18:41Video ya awali kabisa inayoonesha magaidi wakiingia katika jengo la kutoa huduma kwa wananchi wa kawaida la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran.
-
VIDEO: Jeshi la SEPAH la Iran likiokoa wafanyakazi waliovamiwa na magaidi katika ofisi za Bunge, Tehran
Jun 08, 2017 18:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran wakiwaokoa wafanyakazi wa ofisi za Bunge mjini Tehran baada ya magaidi kujiingiza kwenye jengo hilo kwa mavazi ya kike.
-
VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi
Mar 02, 2017 18:26Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.
-
Video: Maroketi erevu ya Iran yenye uwezo mkubwa wa kushambulia
Feb 21, 2017 11:56Katika maneva ya kijeshi yanayoendelea hivi sasa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio maroketi erevu (smart rockets) ambayo yana uwezo mkubwa wa kushambulia adui. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya kazi zinazofanywa na maroketi hayo.