Feb 21, 2017 11:56 UTC

Katika maneva ya kijeshi yanayoendelea hivi sasa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio maroketi erevu (smart rockets) ambayo yana uwezo mkubwa wa kushambulia adui. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya kazi zinazofanywa na maroketi hayo.

Tags