Hali ya Karbala wakati wa Arubaini ya Imam Husain AS + Video
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i36224-hali_ya_karbala_wakati_wa_arubaini_ya_imam_husain_as_video
Hali na mazingira ya wakati huu katika ardhi tukufu za Iraq inakuwa ni ya kipekee kabisa katika kila upande. Ni hali na mazingira ambayo hayapatikani katika sehemu yoyote ya dunia.
(last modified 2025-11-30T09:37:44+00:00 )
Nov 07, 2017 11:27 UTC

Hali na mazingira ya wakati huu katika ardhi tukufu za Iraq inakuwa ni ya kipekee kabisa katika kila upande. Ni hali na mazingira ambayo hayapatikani katika sehemu yoyote ya dunia.

Salum Bendera ambaye Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran imemtuma rasmi kuripoti hali halisi ya Karbala wakati huu wa kumbukumbu za Arubaini ya Imam Hussein AS, ametutumia kipande kifupi cha video cha kuonesha moja ya pande nyingi za kipekee zinazotawala maeneo hayo hivi sasa.