uncategorised
  • Wakati chui aina ya

    Wakati chui aina ya "jaguar" anapoamua kuwinda mfalme wa mtoni, mamba...

    May 17, 2016 05:29

    Ingawa mamba anaonekana kuwa myama hatari zaidi anapokuwa mtoni, na ingawa kesi nyingi zilizoripotiwa, huwa zinahadithia mashambulizi yanayofanywa na mambo kwa watumiaji wa mto, lakini si kila siku mambo ni mshambuliaji kama inavyoonesha video hii fupi

  • Wanyama werevu

    Wanyama werevu

    May 17, 2016 05:25

    Kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu, kimeumbwa kwa hekima na umakini wa hali ya juu na kila leo kunagunduliwa maajabu mapya kutoka kwa viumbe hao kama inavyoonesha video hii kuhusu mambo ya ajabu yanayoweza kufanywa na wanyama na kuzidi kumfanya mwanadamu akiri uwezo usio na kifani wa Mwenyezi Mungu

  • Nguvu za ndege aina ya tai

    Nguvu za ndege aina ya tai

    May 10, 2016 05:48

    Mwenyezi Mungu amewajaalia ndege aina ya tai kuwa na uwezo mkubwa wa kushambulia wanyama hata wakubwa na kuruka nao. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya nguvu hizo.

  • Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS

    Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS

    May 10, 2016 05:16

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika dakika hizi za kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Kabla ya jambo lolote tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa wapenzi wote wa Ahlul Bait AS na wapenzi wote wa haki duniani kwa mnasaba huu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.

  • Watu 73 wauawa katika ajali mbaya ya barabarani nchini Afghanistan

    Watu 73 wauawa katika ajali mbaya ya barabarani nchini Afghanistan

    May 08, 2016 23:03

    Kwa akali watu 73 wamepoteza maisha yao na wengine kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Ghazni nchini Afghanistan.

  • Hidaya ya kubaathiwa Mtume Mtukufu SAW

    Hidaya ya kubaathiwa Mtume Mtukufu SAW

    May 04, 2016 07:22

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nasi katika dakika hizi chache za kipindi kingine maalumu ambacho hii leo kitazungumzia mantiki na mapambano dhidi ya hurafa, ambayo ni hidaya na zawadi ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).

  • Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump

    May 04, 2016 07:03

    Ted Cruz aliyekuwa anawania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani wa tiketi ya chama hicho alishitukia amempiga ngumi ya uso mkewe, baada ya kushindwa na mgombea mwenzake Donald Trump na kuamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho.

  • Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    May 03, 2016 23:36

    Kamisheni ya Mashauri ya Haki za Binadamu nchini Ufaransa (CNCDH) imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kwamba, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mara tatu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2015.

  • Mkuu wa CIA: Kuwekwa hadharani nyaraka ziitwazo 'kurasa 28' ni makosa

    Mkuu wa CIA: Kuwekwa hadharani nyaraka ziitwazo 'kurasa 28' ni makosa

    May 01, 2016 23:43

    Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amesema itakuwa bora kama nyaraka za "kurasa 28" kuhusu tukio la Septemba 11 hazitowekwa hadharani.