-
Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?
Apr 30, 2016 04:35Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.
-
Nyani walivyomuokoa swala na kifo
Apr 30, 2016 03:13Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu
-
Mwangwi wa mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza
Apr 28, 2016 23:37Ripoti mbalimbali kutoka Ukanda wa Gaza huko Palestina zinasema kuwa, hali ya mambo katika eneo hilo imezidisha wasiwasi wa fikra za waliowengi duniani na inaakisi mgogoro mkubwa wa kibinadamu katika eneo hilo linalozingirwa na Wazayuni maghasibu.
-
Mtoto wa miaka miwili amuua mama yake kwa kumpiga risasi Marekani
Apr 28, 2016 10:47Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili amemuua mama yake kwa kumpiga risasi katika mkasa uliotokea kwenye mji wa Milwaukee katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani.
-
Mji mmoja nchini Bulgaria wapiga marufuku vazi la Burqa
Apr 28, 2016 10:46Mji wa Pazardzhik nchini Bulgaria umepiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
-
Kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Imam Ali AS
Apr 20, 2016 06:41Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
-
Saudia yahusishwa na hujuma za 9/11, Obama aitetea
Apr 19, 2016 22:19Saudi Arabia imehusishwa na hujuma za kigaidi za Septemba 2001 nchini Marekani lakini pamoja na hayo Rais Barack Obama wa nchi hiyo amelaani mswada wa sharia unaotaka watawala wa Saudia wawajibishwe.
-
Ratiba
Apr 17, 2016 05:37Ratiba ya Matangazo ya Radio Tehran
-
Malalamiko ya wananchi wa Zimbabwe kuhusu siasa za Rais Robert Mugabe
Apr 15, 2016 23:42Wananchi wa Zimbabwe wamefanya maandamano kulalamikia siasa za Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
-
Watoto na wanawake wa Yemen na Nyoyo zilizojaa machungu
Apr 15, 2016 22:11Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii ya kila wiki ambayo kwa kawaida huwa inatupia jicho matukio mbalimbali muhimu yaliyojiri katika kipindi cha juma zima. Leo tumekuandalieni makala fupi chini ya kichwa cha maneno kisemacho: Watoto na Wanawake wa Yemen na Nyoyo Zilizojaa Machungu, tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.