-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani: Hakuna mpango wowote wa pili ghairi ya mazungumzo kwa ajili ya Syria
Apr 14, 2016 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Jared Caplan, amesema nchi hiyo haina mpango mwengine wowote wa pili kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria na kwamba mpango uliopo ni mmoja tu ambao ni mazungumzo.
-
Matamshi dhidi ya hijabu ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yazidi kulalamikiwa
Apr 14, 2016 02:25Wito wa Waziri Mkuu wa Ufaransa Manuel Valls wa kutaka vazi la hijabu lipigwe marufuku katika vyuo vikuu vya nchi hiyo limezusha makelele makali miongoni mwa mawaziri wa serikali.
-
Marekani, nchi ambayo daima iko vitani
Apr 11, 2016 23:33Sera za kijeshi na za kupenda vita za Marekani zinakosolewa kote duniani na hivi sasa hata wakuu wa nchi hiyo wameanza kukosoa sera hizo.
-
Idadi ya waliokufa katika mkasa wa moto India yapindukia 100
Apr 10, 2016 03:21Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliotokea alfajiri ya leo kusini mwa India imepindukia 100.
-
Siku ya taifa ya teknolojia ya nyuklia
Apr 09, 2016 09:56Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Ni wakati mwengine umewadia wa kuwa nanyi katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki ambacho kwa wiki hii kitazungumzia Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia, inayoadhimishwa hapa nchini tarehe 9 Aprili, inayosadifiana na tarehe 20 Farvardin, kulingana na kalenda ya Hijria Shamsia. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni kwa mnasaba huo.
-
Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa
Apr 09, 2016 07:57Mwaka 57 baada ya hijra ya Mtume SAW kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu ulipambazuka kwa kuzaliwa nuru. Katika siku hii yenye baraka, Mtoto kutoka Nyumba ya Mtume Muhammad SAW alizaliwa na sawa na Ahlul Bayt wengine wa Mtume SAW, akawa tawi katika matawi maridadi katika historia ya Uislamu. Yeye ni mwana wa Imam Sajjad AS na ni maarufu kwa jina la Baqir.
-
Asilimia 75 ya Wafaransa hawataki Rais Hollande agombee tena urais
Apr 07, 2016 11:44Robo tatu ya raia nchini Ufaransa wanapinga Rais wa nchi hiyo François Hollande kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Wanafunzi wanaume Waislamu Uswisi wasameheka kuwapa mkono walimu wao wa Kike
Apr 05, 2016 11:30Wanafunzi Waislamu wa Manispaa ya Therwil katika jimbo la Basel nchini Uswisi hawatohitajika tena kuwapa mikono walimu wao wa kike kufuatia uamuzi uliotolewa Mamlaka za Elimu katika eneo hilo.
-
Tahadhari ya viongozi wa dunia kuhusu tishio la ugaidi wa kinyuklia
Apr 02, 2016 21:50Viongozi wa nchi kadhaa duniani wametahadharisha kuhusu kuzidi kuongezeka tishio la ugaidi wa kinyuklia.
-
Kukubaliana Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na uamuzi wa Mahakama ya Katiba
Apr 02, 2016 03:36Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa, anaheshimu uamuzi wa Mahakama ya Kati ya nchi hiyo dhidi yake.