-
Saudi Arabia yaendelea kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen
Apr 02, 2016 00:10ndege za kijeshi za Saudi Arabia cimeendelea kufanya mashambulio katika maeneo mbalimbali ya Yemen.
-
Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain dhidi ya Iran
Apr 01, 2016 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amedai kupitia mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Saudi Arabia ya al Arabia kuwa eti viongozi wa Iran wanachochea machafuko nchini mwake.
-
Matamshi ya Trump kuhusu uavyaji mimba wazua utata Marekani
Mar 31, 2016 23:56Matamshi ya mgombea anayeoongoza wa chama cha Republican katika mashindano ya kuwania kiti cha rais wa Marekani kuhusiana na uavyaji mimba yamezua mjadala na utata nchini humo. Akizungumza hivi karibuni na televisheni ya MSNBC Donald Trump amesema kuwa wanawake wanaoavya mimba kinyume cha sheria za nchi hiyo wanapasa kuadhibiwa.
-
Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) aapishwa
Mar 31, 2016 04:29Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati aliapishwa rasmi jana katika sherehe zilizofanyika katika uwanja mkuu wa michezo mjini Bangui.
-
Wasiwasi wa kuongezeka utumiaji wa madawa ya kulevya nchini Marekani
Mar 30, 2016 22:00Rais Barack Obama wa Marekani ametahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuenea utumiaji wa madawa ya kulevya katika nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa kuongezeka utumiaji wa madawa ya kulevya nchini Marekani
Mar 30, 2016 21:59Rais Barack Obama wa Marekani ametahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuenea utumiaji wa madawa ya kulevya katika nchi hiyo.
-
Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni
Mar 30, 2016 11:30Imam wa Msikiti wa al-Islam mjini Washington, Marekani amesema serikali ya nchi hiyo na Wazayuni wana muelekeo wa pamoja na wanashrikiana katika kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
-
Aprili Mosi, Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 30, 2016 10:54Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Leo tumeamua kukuandalieni makala fupi kuzungumzia tukio la mwaka 1979 la wananchi wa Iran la kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kujiamulia wenyewe mfumo wanaoutaka wa utawala, ambapo kwa kauli moja waliamua mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu yaani mfumo unaotegemea maoni ya wananchi lakini kwa misingi ya dini tukufu ya Kiislamu, uwaongoze.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatimatuz Zahra SA
Mar 29, 2016 12:45Tarehe 20 Jamadu Thani Hijiria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimat az-Zahra (sa) Binti ya Mtume Mtukufu (saw). Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe wa Mtume (saw).
-
Wamarekani wengi wanapinga nchi yao kuingilia masuala ya nchi za Kiislamu
Mar 29, 2016 09:48Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa yanaonesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga nchi yao kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Kiislamu.