-
Tatizo la ndoa za watoto
Mar 29, 2016 04:04Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii ambayo itaangazia ndoa za watoto au za utotoni duniani.
-
'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'
Mar 28, 2016 02:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amekiri kuwepo utovu wa nidhamu katika kampeni za uchaguzi wa rais nchini humo na kusema jambo hilo limepelekea Marekani kuaibika kimataifa.
-
Padri wa Kikatoliki atimuliwa kwa kuwalawiti vijana Italia
Mar 27, 2016 10:03Padri mmoja wa Kanisa Katoliki mjini Milan nchini Italia amesimamishwa kazi baada ya kubainika kuwa amekuwa akimhonga kijana mmoja barobaro ili afanye naye ulawiti.
-
Waislamu Bosnia walaani adhabu hafifu aliyopewa Karadzic
Mar 25, 2016 11:23Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.
-
Wimbi jipya la chuki laibuka dhidi ya Uislamu Marekani
Mar 25, 2016 11:22Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.
-
UNICEF: Watoto milioni 87 duniani wanajua vita tu
Mar 25, 2016 11:22Zaidi ya watoto milioni 86.7 wa chini ya umri wa miaka saba wameishi maisha yao yote katika maeneo ya vita na kuhatarisha ukuaji wa ubongo wao.
-
Joto kali katika siku ya Hali ya Hewa Dunaini
Mar 22, 2016 03:21Leo, ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Hali ya Hewa, kumetolewa tahadhari ya joto kali katika eneo la Pwani ya Afrika Mashariki huku Shirika la Hali ya Hewa Duniani likibainisha wasiwasi wake kutokana na kuongezeka joto katika sayari ya dunia.
-
Google ilitaka kuisaidia Marekani kumpindua Rais Assad wa Syria
Mar 22, 2016 02:31Barua pepe (email) ya mwaka 2012 iliyovuja ya Hillary Clinton inaonyesha kuwa shirika la intaneti la Google lilitoa pendekezo kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu mbinu za kuiangusha serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Mabudha wa Myanmar waendelea kutenda jinai na mauaji dhidi ya Waislamu
Mar 22, 2016 00:06Hali ya Waislamu wa Myanmar imeripoti kuwa inaendelea kutia wasiwasi licha ya ushindi wa chama cha National League for Democracy kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi ambao umekomesha utawala wa kipindi kirefu wa kijeshi nchini humo.
-
Mabudha wa Myanmar waendelea kutenda jinai na mauaji dhidi ya Waislamu
Mar 21, 2016 23:08Hali ya Waislamu wa Myanmar imeripoti kuwa inaendelea kutia wasiwasi licha ya ushindi wa chama cha National League for Democracy kinachoongozwa na Aung San Suu Kyi ambao umekomesha utawala wa kipindi kirefu wa kijeshi nchini humo.