uncategorised
  • Ukosoaji wa Wapalestina kwa utendaji dhaifu wa UNRWA

    Ukosoaji wa Wapalestina kwa utendaji dhaifu wa UNRWA

    Mar 21, 2016 00:20

    Ali Baraka, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS nchini Lebanon amekosoa utendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kuhusiana na wananchi wa Palestina.

  • Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama

    Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama

    Mar 18, 2016 13:10

    Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama majumbani mwao na mashuleni ambayo yamechanganyika na madini ya risasi.

  • Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran

    Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran

    Mar 18, 2016 03:00

    Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu.

  • Historia fupi ya Nairuzi

    Historia fupi ya Nairuzi

    Mar 18, 2016 02:51

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumapili ya tarehe 20 Machi mwaka huu inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Ni sherehe za kale na za muda mrefu ambao matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwakakongwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran.

  • Mogherini: Mpango wa JCPOA uko katika mkondo sahihi

    Mogherini: Mpango wa JCPOA uko katika mkondo sahihi

    Mar 16, 2016 03:45

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza katika ripoti aliyotoa baada ya kufanyika kikao cha mashauriano kati yake na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) upo katika mkondo sahihi.

  • Takwimu Jumapili

    Takwimu Jumapili

    Mar 13, 2016 01:52

    Leo ni Jumapili tarehe tatu Jamaduth-Thani 1437 Hijria, inayosadifiana na tarehe 13 Machi, 2016 Miladia.

  • Kumbukumbu ya Kufa Shahidi Bibi Fatima Zahra AS

    Kumbukumbu ya Kufa Shahidi Bibi Fatima Zahra AS

    Mar 12, 2016 13:27

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) na mwanamke bora duniani na akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema.

  • Mkwamo mwingine wa kisiasa nchini Lebanon, hitilafu kuhusu sheria ya uchaguzi

    Mkwamo mwingine wa kisiasa nchini Lebanon, hitilafu kuhusu sheria ya uchaguzi

    Mar 11, 2016 23:01

    Huku hitilafu baina ya makundi ya kisiasa ya Lebanon kuhusu mtu wa kuchukua nafasi ya rais iliyo wazi kwa miaka miwili sana zikiendelea, kamati ya watu tisa ya kutunga sheria mpya ya uchaguzi nchini humo imeshindwa kuafikiana kuhusu sheria hiyo.

  • Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina

    Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina

    Mar 10, 2016 22:44

    Mchezaji wa timu ya taifa ya ndondi ya Iran amekataa kupigana na nchezaji wa ndondi wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya Njia ya Hariri yanayofanyika Baku nchini Azerbaijan akionyesha uungaji mkono wake kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina