-
Hizbullah yataja mpango wa kuipokonya silaha kuwa ni 'dhambi kubwa,' yakataa kuweka chini silaha
Aug 07, 2025 04:05Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kuitaka kuipokonya silaha na kusema ni "dhambi kubwa," ikionya kwamba hatua hiyo itaidhoofisha nchi dhidi ya uvamizi wa Israel. Hizbullah imetangaza kuwa litapuuza uamuzi huo kabisa, na kuutambua "kana kwamba haupo."
-
Netanyahu atishia kumtimua mkuu wa majeshi akikataa kutekeleza mpango wa kuivamiza Ghaza yote
Aug 07, 2025 01:00Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amemtishia kumfukuza kazi mkuu wa majeshi Eyal Zamir, ikiwa ataukataa mpango uliopendekezwa wa kuukalia kijeshi Ukanda wote wa Ghaza. Hayo yameripotiwa na duru za karibu na Netanyahu mwenyewe.
-
Baraza la Mawaziri la Netanyahu latumbukia kwenye mgogoro; mgogoro huu unaelekea wapi?
Aug 06, 2025 23:01Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa, hitilafu ndani ya tawala huo ghasibu zinazidi kuongezeka na hivyo kuathirri pakubwa shughuli zake za kila siku.
-
Waziri Mkuu wa Cuba alaani vita vya Gaza na kunyimwa chakula wa watu wa eneo hilo
Aug 06, 2025 03:23Waziri Mkuu wa Cuba ametuma jumbe kadhaa katika mitandao ya kijamii na kulaani sera za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza za kuzuia kutolewa bidhaa za chakula na kuwasababisha njaa wakazi wa eneo hilo.
-
Tsunami ya chuki; Imekuaje Israel imeondokea kuwa utawala unaochukiwa duniani?
Aug 06, 2025 00:27Katika wiki za hivi karibuni, maafisa na takwimu za Israel zimeelezea mara kwa mara wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa chuki ya kimataifa dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi
Aug 06, 2025 00:25Naibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Russia kwa ajili ya Masuala ya Kimataifa na Hija na Mufti wa Mkoa wa Moscow amesema: Waislamu wa Russia wanaitambua hatua ya Itamar Ben-Gvir ya kuvamia na kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa ya kichochezi.
-
Rais wa Ireland aitaka UN kutumia sura ya 7 ya Mkataba wa umoja huo kuhitimisha mgogoro wa Gaza
Aug 05, 2025 11:01Rais Michael Daniel Higgins wa Ireland ameutaka Umoja wa Mataifa kutumia utaratibu wa Sura ya 7 ya Mkataba wa umoja huo dhidi ya Israel ili kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti: Netanyahu ameamua Israel ivamie na kulikalia kwa mabavu eneo lote la ardhi ya Ghaza
Aug 05, 2025 04:17Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa, waziri mkuu wa utawala huo haramu wa kizayuni Benjamin Netanyahu anatazamiwa kutangaza mipango ya kuukalia kwa mabavu kikamilifu Ukanda wa Ghaza.
-
Rais wa Lebanon ameahidi haki kutenda miaka mitano baada ya mlipuko wa Beirut
Aug 04, 2025 23:11Rais Joseph Aoun wa Lebanon ameahidi kuwa haki itatendeka bila ubaguzi. Rais wa Lebanon amebainisha haya kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa tano tangu ulipotokea mlipuko mkubwa katika bandari ya Beirut nchini humo.
-
Vipi gharama za kijeshi zimeusukuma uchumi wa Israel katika ukingo wa shimo?
Aug 04, 2025 22:58Viashiria vya ukuaji wa uchumi wa utawala wa kizayuni wa Israel vinapungua, na inatarajiwa kwamba athari mbaya za vita vinavyoendelea vya Gaza na vita vya siku 12 dhidi ya Iran vitazidi kuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa kiuchumi wa Israel katika nusu ya pili ya mwaka huu.