-
Kuongezeka matukio ya kujiua miongoni mwa askari wa Kizayuni; jeshi la Israel linasambaratika kutokea ndani
Aug 02, 2025 22:55Vitendo vya kujiuawa vitakuwa kuwa tishio na jinamizi kuu miongoni mwa wanajeshi wa Israel baada ya kumalizika vita vya Gaza.
-
UNICEF: Watoto wanafariki Ghaza kwa kasi ambayo 'haijawahi kushuhudiwa'
Aug 02, 2025 09:46Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka ili kuzuia vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Ghaza, ambako hali inaendelea kuwa mbaya wakati huu wa vita vinavyoendelezwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo uliloliwekea mzingiro.
-
Waziri wa Syria: Israel inalenga kuigawanya Syria vipande vipande, si kuwatetea Wadruze
Aug 02, 2025 07:46Waziri mmoja wa serikali ya mpito ya Syria amekosoa uingiliaji kijeshi uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika matukio ya eneo la kusini mwa Syria na kusistiza kuwa, lengo hasa la Tel Aviv ni kuigawanya na kuivuruga nchi hiyo na si kutetea jamii za wachache za kikabila au za kidini za watu wa nchi hiyo.
-
The Lancet: Hali ya Gaza ni mbaya zaidi kuliko mauaji ya kimbari ya Rwanda
Aug 02, 2025 05:42Jarida la Lancet, linalojulikana kama moja ya majarida maarufu ya masuala ya matibabu duniani, limetangaza takwimu za kushtua kutoka Gaza, likisema kwamba hali ya eneo hilo ni mbaya zaidi kuliko mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994.
-
Iran yaonya kuhusu ya njama za Israel kuvuruga usalama Asia Magharibi
Aug 02, 2025 00:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa utawala wa Israel unalenga kuvuruga hali ya usalama katika ukanda wa Asia Magharibi (Mashariki ya Kati), na amezitaka nchi zote za eneo kuwa macho na kuchukua tahadhari ili kukabiliana na njama hizo.
-
Watoto 20,000 wa Gaza wanatabika kwa utapiamlo mkali
Aug 01, 2025 23:09Shirika la kimataifa la "Action Against Hunger" limeonya kwamba mzozo wa njaa katika Ukanda wa Gaza umeongezeka kwa kiasi kikubwa, na hilo limekuwa matokeo ya kimajanga kwa watoto na wanawake wa Ukanda huo.
-
Ujumbe wa Kongamano la Kimataifa la Palestina kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
Aug 01, 2025 11:33Mkutano wa Kimataifa wa Palestina umeafiki kuchukua hatua za pamoja za kumaliza vita vya Israel dhidi ya watuu wa Gaza, na kuunga mkono kile kilichoitwa kuwa suluhisho la "nchi mbili" na kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
-
Human Rights Watch: Mfumo wa ugavi wa misaada wa GHF huko Gaza umegeuka kuwa umwagaji damu
Aug 01, 2025 10:03Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo Ijumaa kwamba mfumo wa ugavi wa misaada huko Gaza umegeuka na kuwa bwawa ya umwagaji damu wa mara kwa mara, huku mauaji ya Israel yakiendelea dhidi ya watu wanaosumbuliwa na njaa wanaojaribu kupata chakula katika vituo vinavyoendeshwa na shirika la Gaza Humanitarian Foundation (GHF) linalosimamiwa na Wamarekani na Israel.
-
Jeshi la Yemen lashambulia ngome 3 za Israel kwa kutumia droni 5
Jul 31, 2025 08:47Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limetekeleza mashambulizi matatu ya ndege zisizo na rubani (droni) katika maeneo matatu ya Israel.
-
Kwa nini Marekani inang'ang'ania Hizbullah ya Lebanon ipokonywe silaha?
Jul 31, 2025 05:19Duru za habari zimetangaza kuwa Marekani imeongeza mashinikizo yake kwa Lebanon ya kuitaka ipitishe haraka iwezekanavyo kupitia baraza lake la mawaziri uamuzi rasmi unaoiwajibisha kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa nchi hiyo ya Hizbullah.