-
Seneta Nasir Abbas: Pakistan haitakaa kimya ikiwa Marekani na Israel zitamlenga Ayatullah Khamenei
Jul 01, 2025 03:30Seneta wa Pakistan amelaani tishio la Marekani na Israel la kumlenga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akisema kuwa suala hilo llitaibua majibu kutoka kwa mataifa yote ya Kiislamu ikiwemo Pakistan.
-
Gazeti la Kizayuni "Ma'ariv" latangaza ongezeko kubwa la maombi ya Wazayuni ya matibabu ya kisaikolojia kutokana na vita na Iran
Jul 01, 2025 03:28Maombi ya Wazayuni ya kutaka huduma za msaada wa kisaikolojia kutokana na vita na Iran yameongezeka kwa kasi ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa vita kati ya utawala huo na Iran, sambamba na dalili za kuongezeka matatizo ya ndani katika nyanja ya afya ya akili.
-
Mji wa Bat Yam umekuwa kama Gaza baada ya mashambulizi ya makombora ya Iran dhidi ya Israel
Jun 30, 2025 07:57Gazeti la Israel la lugha ya Kiibrania limeripoti kuwa mji wa Bat Yam katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) sasa unafanana na maeneo yaliyoathiriwa na vita ya Ukanda wa Gaza baada ya mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya utawala wa Israel.
-
Utafiti Mpya: Takriban Wapalestina 100,000 wameuawa katika mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Jun 30, 2025 00:53Watafiti wamebaini kuwa takriban Wapalestina 100,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita vya kinyama vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 2023.
-
Lieberman: Gharama ya vita na Iran imezidi makadirio kwa makumi ya mabilioni ya dola
Jun 29, 2025 22:44Wakati Israel bado inasumbuliwa na matokeo ya vita na Iran, Waziri wa zamani wa Fedha wa Israel, Avigdor Lieberman ametangaza kuwa, gharama za vita hivyo zimevuka utabiri wa mabilioni ya dola na kwamba uchumi wa Israel unazidi kudimimia kila siku.
-
Afisa wa Kizayuni akiri, makombora ya Iran yalipiga kwa usahihi moyo wa kituo cha utafiti cha Israel
Jun 29, 2025 08:30Alon Chen, mkuu wa Taasisi ya Sayansi ya Weizmann (ubongo wa masuala ya usalama na jeshi la Israeli) kusini mwa Tel Aviv, amekiri katika taarifa yakke kwamba makombora ya Irani yalipiga kwa usahihi kituo cha utafiti cha Israel.
-
Sheikh Naim Qassim: Muqawama ni njia ya ushindi, unapatikana katika medani ya vita au kwa kuuawa shahidi
Jun 29, 2025 04:32Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njia ya muqawama ni njia ya ushindi, iwe unapatikana ardhini au kwa kuuawa shahidi.
-
Maandamano ya walowezi wa Kizayuni ya kutaka kusitishwa mapigano na kubadilishana mateka
Jun 29, 2025 04:29Walowezi wa Kizayuni wamefanya maandamano na kukusanyika mbele ya makazi ya baadhi ya maafisa wa utawala huo ghasibu wakitaka kutiwa saini makubaliano ya kubadilishana mateka na kusitishwa mapigano ili kuwarejesha mateka wa utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Mpango wa usambazaji chakula huko Gaza ni uvunjiwaji heshima utu wa kibinadamu wa Wapalestina
Jun 28, 2025 07:56Shirika la Kimataifa la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza katika taarifa leo Jumamosi kwamba kile kinachotokea wakati wa usambazaji wa chakula katika Ukanda wa Gaza kinasikitisha sana.
-
Yemen yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Israel
Jun 28, 2025 07:36Ving'ora vya mashambulizi ya anga vimesikika katika maeneo mengi ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) baada ya jeshi la Yemen kuvurumisha makombora kuelekea utawala wa Kizayuni ili kulipiza kisasi vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelea kufanywa na utawala huo ghasibu dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ulio chini ya mzingiro.